Hatudanganyiki wote kha!

Ahaa wewe akili zako ni kama za Samweli Sita anayeomba mdahalo na ''fisadi'' badala ya kuomba kesi! Hivi mtu atakuibia nyumbani kwako halafu uende polisi uombe kufanya nae mdahalo badala na kutaka apelekwe mahakamani na kisha jela? Tumewashtukia nyie CCM ni wasanii kama hao wasanii mnaotembea nao wawasaidie kuvuta wata kwenye mkutano... baada ya kuona ujanja wa kutembea na fisi umekwama!
 
Hakusema lowassa, alisema Fisadi, CCM mafisadi ni wengi sana, sheria imeanza siwezi kutaja lakini wako wengi tu
 
mtu mzima kama huyo kuwa mnafiki ni AIBU kubwa sana , kama yeye ni mnafiki ivo unadhani akina Julius Mtatiro John Mnyika Tundu Lissu @Yerico Nyerere na mazwazwa wengine watakuaje?

#SHIKAMOO_SAIBA_KRAIMU

Hao ni individual hypocrites, CCM kama chama ni kinafiki kwa ujumla wake. Huyu Lowassa alipokuwa huko hakuwa fisadi, ufisadi wake umeanza baada ya kubeba bendera ya UKAWA?

Nikukumbushe kuwa, operesheni VUA GAMBA ililenga kuwaondoa mafisadi CCM, yeye huyu haikumgusa, kwa hiyo SIO fisadi. Kwa imani tuliyonayo kwa kamati ya maadili ya CCM na sisi wananchi tumekubali kuwa Lowassa sio fisadi na ndio maana tupo naye na jua kuwa tuna mahaba naye kwa kuwa ni APPROVED BY CCM. T 2015 ENL
 
Alieshika bango hajui kusoma wala kuandia huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…