Hatudanganyiki tena na push-up

Hatudanganyiki tena na push-up

HUO NDIYO UKWELI. SUBIRI WA BUKU 7 ZA MZEE POLE POLE WAJE
serikali ya ccm imefilisika, imefikia hatua ya kufuta increment? Teh teh teh
Nilijua tu uhakiki ni kichaka cha wahuni na wapiga dili wa chama cha majambazi.
Raisi anafuta ajira halafu anasema hapa kazi tu na watu wanapiga makofi. Teh teh teh
Ni hatari sana mtu mwenye mawazo ya kimasikini kupewa nyadhifa kubwa km hiyo. Na mm nasubiria kwa hamu waniteke sbb ndiyo njama zao siku hiz.
 
Back
Top Bottom