Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,882
- 141,508
Pressure nje ya nchi is too high, they cant keep upBaada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!
Hiyo si pole ya dhati.
Kaitoa kwa sababu kaona hakuna namna. Ushahidi wa mauaji yake ni mwingi mno.
Wamejaribu kila aina ya spin, imeshindikana.
Walianza na kuwalaumu waandamanaji.
Wakaja na habari za AI, ikagoma.
Wamejaribu kukaa kimya wakiombea Watanzania watasahau, imeshindikana.
Vyombo vya habari vya ndani navyo vimejaribu kumkingia kifua kwa kutokuripoti hayo mauaji, imegonga mwamba.
Vyombo vya habari vya kimataifa kwa kusema ukweli havijaitupa Tanzania.
BBC, DW, First Post, na wengineo, wameendelea kuripoti kuhusu mauaji aliyoyafanya.
Kwenye jumuiya ya kimataifa, wanamcheka kwa dharau.
Watu wote tumeona hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura.
Sasa eti anakuja na mambo ya pole, sijui tume ya kuchunguza mauaji, sijui maridhiano nini nini….
Mimi nasema hivi…..hatuutaki huo ujinga wako.
Kuua uue wewe halafu wewe huyo huyo ndo uunde tume ya kuchunguza hayo mauaji yako?
Hivi unatuonaje we bibi?
Hayo ndo yaleyale ya tume ya uchaguzi. Unaiunda mwenyewe halafu unakuja kushiriki uchaguzi ambao hiyo tume inauendesha.
Tumeona matokeo yake.
Safari hii imekula kwako. Pole yako baki nayo mwenyewe.
Tume yako baki nayo mwenyewe.
Kwa sasa jiandae tu na kwenda kujibu mashitaka kule ICC.
Wanaomsikiliza wana moyo sanaKwa mauaji yaliyotokea nimekuwa nikimuombea kifo Mungu anisamehe, ila siwezi hata kumsikiliza nahisi kichefuchefu
porojo zilezile za 4RBaada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!
Hiyo si pole ya dhati.
Kaitoa kwa sababu kaona hakuna namna. Ushahidi wa mauaji yake ni mwingi mno.
Wamejaribu kila aina ya spin, imeshindikana.
Walianza na kuwalaumu waandamanaji.
Wakaja na habari za AI, ikagoma.
Wamejaribu kukaa kimya wakiombea Watanzania watasahau, imeshindikana.
Vyombo vya habari vya ndani navyo vimejaribu kumkingia kifua kwa kutokuripoti hayo mauaji, imegonga mwamba.
Vyombo vya habari vya kimataifa kwa kusema ukweli havijaitupa Tanzania.
BBC, DW, First Post, na wengineo, wameendelea kuripoti kuhusu mauaji aliyoyafanya.
Kwenye jumuiya ya kimataifa, wanamcheka kwa dharau.
Watu wote tumeona hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura.
Sasa eti anakuja na mambo ya pole, sijui tume ya kuchunguza mauaji, sijui maridhiano nini nini….
Mimi nasema hivi…..hatuutaki huo ujinga wako.
Kuua uue wewe halafu wewe huyo huyo ndo uunde tume ya kuchunguza hayo mauaji yako?
Hivi unatuonaje we bibi?
Hayo ndo yaleyale ya tume ya uchaguzi. Unaiunda mwenyewe halafu unakuja kushiriki uchaguzi ambao hiyo tume inauendesha.
Tumeona matokeo yake.
Safari hii imekula kwako. Pole yako baki nayo mwenyewe.
Tume yako baki nayo mwenyewe.
Kwa sasa jiandae tu na kwenda kujibu mashitaka kule ICC.
Mimi nikisikia habari zake redioni fasta naizima.Kwa mauaji yaliyotokea nimekuwa nikimuombea kifo Mungu anisamehe, ila siwezi hata kumsikiliza nahisi kichefuchefu
Afe ili nchi ipate amani na Watanganyika wawe huru kuongea maoni yao bila kutekwa wala kuuawa.Kwa mauaji yaliyotokea nimekuwa nikimuombea kifo Mungu anisamehe, ila siwezi hata kumsikiliza nahisi kichefuchefu
Mimi sitaki kuona sura yake wala kusikia sauti yake.Kwa mauaji yaliyotokea nimekuwa nikimuombea kifo Mungu anisamehe, ila siwezi hata kumsikiliza nahisi kichefuchefu
Ka acknowledge baada ya wiki mbili!At least wame acknowledge kulikuwepo mauaji. Ni hatua muhimu. Viongozi wa TZ walianza katabia cha kukana vitu ambavyo vipo dhahiri. Ngoja tuone yajayo.
True, siku ya kuapishwa alivipongeza vyombo vya ulinzi.... Ilinishtua kweli. Like nothing happened.Ka acknowledge baada ya wiki mbili!
Baada ya kuona hakuna namna.
So insincere.
Huyo kigagula Bi BICHWA KOMWE -Absulutely, definetly, clearly, actually.
Niko pale natafuna popcorn.
" Aaah....sikusoma sana. Nilisoma mpaka kidato cha nne. Sikufanya vizuri!."
Halafu si alisema ni raia wa kigeni….True, siku ya kuapishwa alivipongeza vyombo vya ulinzi.... Ilinishtua kweli. Like nothing happened.