mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,342
- 12,472
Kama hii huko Mwanza
na mkiambiwa mna fujo mnabisha. hiki chama ifike siku kifutwe tu.
Vyama vyote vinafujo. Hivi yale mawe, madaraja na kuta zilizoandikwa M chemba 2015 zilikuwa ni nn?na mkiambiwa mna fujo mnabisha. hiki chama ifike siku kifutwe tu.
Nani kafanyiwa fujo?na mkiambiwa mna fujo mnabisha. hiki chama ifike siku kifutwe tu.
mtu anahonga hela vijana wasiojitambua akili wajiue huku yeye akichekelea.
Na wewe kimukhe mukhe Cha nini??,Si utulie tu usubiri ukweli??.Kama Mbowe anashikiliwa na ugaidi, wananchi wanalalamika nini...si wasubiri ukweli? Kumbukeni kuwa GAIDI si lazima ushike bunduki, angalieni waarab wafanyavyo....mtu anahonga hela vijana wasiojitambua akili wajiue huku yeye akichekelea.
Kafanikisha lengo lake tayari, wao wanachotaka tu ni kuua ili wapate jina.Kisha anapata nini kama rerurn ya kicheko chake?