Pangah2011
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 260
- 218
OH! Pole kaka karibu https://hakerhub.000webhostapp.comkila nikianza kujifunza simalizi mwezi mzuka una pungia slowly nakuji kuta nisha acha kujifunza, nafikiri nahitaji kampan ya watu Kama wawili hivi tusome pamoja au niwe nafanya kazi for free Kwa Mtaalam as helper ili niweze kugain,
Asante kwa swali lako. Ukiwa kama programmer cha kwanza hupaswi kuwa na mawazo ya kuajiriwa kwa sababu mawazo au idea utakazo kuwa nazo ndizo zitakazokupa hela. Nikimaanisha ukiwa na wazo la kutengeneza kifaa flani au program flani ambayo kweli itatatua tatizo fulani linaloikabili jamii husika, basi kila mtu ataitaka na ndipo utakapoanza kuingiza hela kupitia hivo... Programmer kama programmer kwa maana nyingine huitwa msuluhisha matatizo, hivo kam programmer unapaswa kufikiria matatizo yanayoisumbua jamii fulani na ndipo uyatengenezee solution.Samahani mkuu.. vp kuhusu soko la ajira kwa maprogrammer Tanzania?? Na Kwa njia zipi programmer anaweza kujiajirii mwnyewe??
Asante kwa jibu Zuri mkuu.. na je ni chuo gan kizuri kibongo bongo Kwa kusomea programming Na computer science Kwa ujumla Kwa level ya bachelor degree??Asante kwa swali lako. Ukiwa kama programmer cha kwanza hupaswi kuwa na mawazo ya kuajiriwa kwa sababu mawazo au idea utakazo kuwa nazo ndizo zitakazokupa hela. Nikimaanisha ukiwa na wazo la kutengeneza kifaa flani au program flani ambayo kweli itatatua tatizo fulani linaloikabili jamii husika, basi kila mtu ataitaka na ndipo utakapoanza kuingiza hela kupitia hivo... Programmer kama programmer kwa maana nyingine huitwa msuluhisha matatizo, hivo kam programmer unapaswa kufikiria matatizo yanayoisumbua jamii fulani na ndipo uyatengenezee solution.
Hivyo ndivyo programmer makini anatakiwa awe!
Asante kwa jibu Zuri mkuu.. na je ni chuo gan kizuri kibongo bongo Kwa kusomea programming Na computer science Kwa ujumla Kwa level ya bachelor degree??
HDD 30Gb boss Os tu win 10 imekula kama 20 ila ina slot ya Memory card je nkiweka memory ni kama pamtop ivi hii PC Ram ni 2GB, Intel ceronon 1.8Ghzndio kama computer yako inahard disk storage ya kuanzia 80GB na RAM atleast 2GB.. Program hizo hazina shida. Zitarun kabisa!!
Hongera mtoa mada, ila ningependa ongezea kitu.
Kama kweli mtu umedhamiria kuwa nondo kwenye field ya programming basi chagua lugha moja komaa nayo kuanzia
Beginner level,
Intermediate level
Hadi Advanced level
Usionje onje. Soma elewa fanya mazoezi.
Ningeshauri mtu apitie kwenye hizi njia
Chagua language uipendayo
1.tumia web hii kujifunzia
Tutorials Park - Home Page
Hiyo site inakuanzia from beginner to Advanced
Tumia hii tovuti kufanya reference kama hujaelewahttps://www.javatpoint.com/
Ukielewa mambo concept au jambo let say loops tumia hii tovuti kuchukua mazoezi /exercise
Java programming Exercises, Practice, Solution - w3resource
Hii site inamazoezi ya lugha nyingi tu, so utachagua
>>unaweza ingia youtube pia kupata mwanga kupitia hii channel thenewboston
>> kama unalenga kwenye web usichoke soma hiki kitabu Manning | Secrets of the JavaScript Ninja
Kipo kwa pdf pia so kitafute kwa pdf utakipata
>> kupata quiz na exercise unaeza jisajili bure hapahttps://javabrains.io/
>>ukijiona umeiva iva japo simpaka uive sana jiunge hapahttps://www.codechef.com/
Last step
Anza kutengeneza crone za App mbalimbali au websites.
Ukifanya hayo kwamakini utakuwa moto mwengine. Programming nisafari na hakuna mwisho wakusoma, kuna libraries za language nyingi na framework usisahau kusoma.
.
>>Elimu haina mwisho, nilichagua java nikasoma now naona matunda yake. Sichoki kusoma hadi leo nasoma.
All the best kwa wote wanaopenda jifunza. Technology is best tool to change the word