Kwann mkuu unapatkn maeneo ya pwani au...?1. Kuanzia msingi hadi lenta Tofali - 2,000
2. Kuanzia msingi hadi lenta Cement - 25
3. Mkanda wa msingi, jamvi na lenta kokoto fuso - 2
4. Kenye mkanda na lenta hakuna haja ya kusuka nondo, lakini unaweza ukaacha nafasi ya inch 1 na nusu hadi 2 kwa kulaza nondo pembeni na pembeni zitakazo shikiliwa na ringi ndogo za 5/6 milimita.
5. Mchanga wa ujenzi kutoka msingi hadi lenta fuso tripu - 3
6. Mengineyo weka - 300,000
7. Makadirio ya nondo ni 38 hadi kusimamisha nguzo (kenopi) au pillar.
8. Ufundi kwa ujumla wa mchakato huo "ingekua mimi nafikiri ningekadiria sio zaidi ya - 1,800,000.
Hapana chief, mimi nipo huku Kerende, Mugumu Serengeti ndani ndani......Kwann mkuu unapatkn maeneo ya pwani au...?
Saw mkuuEbu jifanye kichaa kwanza, agiza tofali 1,000 ambazo kwa makadirio zinajengwa kwa mifuko walau 15 ya cement.
Agiza mchanga tripu 2 za fuso, kisha nunua kamba ya manila rola moja ya mita 300 na misumari ya inchi 4 kilo 5.
Kisha baada ya hapo mwambie msingi afanye setting kwa kutumia matofali ili kubapa skwea mita na nyuzi 90 za mjengo wako.
Jitahidi kukubakiana nae kwenye ufundi aweke takataka zake zoooote ili wewe ujue tu kwamba unapaswa kumlipa kiasi gani, hii itakuepusha kila wakati kupigiwa sim kwamba kimepungua hiki na kile.
Pia hakikisha unakuepo siku ya kuchimba msingi na wanapo anza kuset nyumba.
Pia jitahidi kuwepo wakati wa ujenzi wa msingi kabla hawaja gukia (matofali ya msingi) na kusawazisha muonekano wa ndani, maana huku juu unauwezo wa kuhesabu tofali zilizo jengewa.
Jiepushe na gharama za vifaa kama mbao, pleti za kukodi, kumwagilia jengo, kukodisha ngazi, kununua ndoo ili aweke yeye kwenye ufundi wake.
App ya JF ina shida mahala, picha hazifungukiHabari wajenz /mafundi na wajenz wenzangu , naomba ushurik wenu hapa
Nipo katika kujiandaa kuanza ujenzi na nataka nijenge kwanza hatua ya msingi kwanza kutokan na kipato changu naomba makadirio ya karibu kbsa katika kuanza msingi na kuumalza hasa katika vifaa kama:-
-MATOFALI
-MCHANGA
- CEMENT
- KOKOTO
- NONDO
-MALIPO YA FUNDI
KIWANJA KIPO ENEO TAMBARALE KWA 93% UDONGO NI KICHANGA ILA NATAKA NIFUNGE MKANDA KUTA ZA NJE ZA JENGO Na kuta/msingi zote ambazo hutoka Nje kuingia ndani ,
BEI ZA TOFAULI ZA MSINGI TSHS 1100/- @1 INCH 6
CEMENT 15000/-
KWA MSISITIZO Ushimen na Njuka II
Peace of floor plane [emoji116][emoji116] moderate jitahd pcha ionekane.
View attachment 2609572
JE KWENYE MKANDA NILAZIMA KUSUKA NONDO 3 VIPI NIKILAZA NONDO 2[emoji4][emoji19]
Hizo 3 zenyewe zimepunguzwa kutoka 4 ambayo ni standard katika ujenziHabari wajenz /mafundi na wajenz wenzangu , naomba ushurik wenu hapa
Nipo katika kujiandaa kuanza ujenzi na nataka nijenge kwanza hatua ya msingi kwanza kutokan na kipato changu naomba makadirio ya karibu kbsa katika kuanza msingi na kuumalza hasa katika vifaa kama:-
-MATOFALI
-MCHANGA
- CEMENT
- KOKOTO
- NONDO
-MALIPO YA FUNDI
KIWANJA KIPO ENEO TAMBARALE KWA 93% UDONGO NI KICHANGA ILA NATAKA NIFUNGE MKANDA KUTA ZA NJE ZA JENGO Na kuta/msingi zote ambazo hutoka Nje kuingia ndani ,
BEI ZA TOFAULI ZA MSINGI TSHS 1100/- @1 INCH 6
CEMENT 15000/-
KWA MSISITIZO Ushimen na Njuka II
Peace of floor plane [emoji116][emoji116] moderate jitahd pcha ionekane.
View attachment 2609572
JE KWENYE MKANDA NILAZIMA KUSUKA NONDO 3 VIPI NIKILAZA NONDO 2[emoji4][emoji19]
Hili jambo muhimu sanaPia hakikisha unakuepo siku ya kuchimba msingi na wanapo anza kuset nyumba
Hapa anaweza kukupigaJiepushe na gharama za vifaa kama mbao, pleti za kukodi, kumwagilia jengo, kukodisha ngazi, kununua ndoo ili aweke yeye kwenye ufundi wake.
Aksnt sanaTofali 1000 sawa na 1.1mil
Mchanga 4.5qm 60000/-
Cement 15bags 300000/-
Nondo 10 200000/-
R6 6 50000/-
Binding wire 3kg 15000/-
Misumari 5k 15000/-
Mbao nenda kakodi ila makadirio sio chini ya 100000/-
Ufundi 400000/-
Toto 2.7mil
Ni vyema kama utafung mkanda uweke nondo 3 ukuta wa nje ndan unawez wek mbili au moja ata usipg mkand ndan sio issueHivi kama eneo ni kichanga kuna ulazima wa chini kuanza na zege? Siwezi anza kwa kupanga tofali?
Na pia kwenye kufunga mkanda wa msingi wenye kozi 7 ambazo tatu ardhini 4 zimetokeza nje. Kuna umuhimu gani wa kuzungushia na nondo nikiamua piga mkanda wa bila nondo..kuna hatari gani naitengeneza?
Shukrani mkuuNi vyema kama utafung mkanda uweke nondo 3 ukuta wa nje ndan unawez wek mbili au moja ata usipg mkand ndan sio issue