Nakubali hapo 10m itakusogeza kila la kheri cha umuhimu wabane mafundi wasikuibie sanaCna kumbukumb nzur ila c chin ya 2 had 2.7m ,kila ktu
Wakati wa kupandisha boma, inabidi uedit ramani yako. Mfano hapo mbele ya sebule, mlango na dirisha vimetenganishwa na ukuta wa sentimita 25, ambapo hiyo distance ni ndogo sana.Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 .
Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz ,
Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula
Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez nifanikishia hatua nzuri niwez kuhamia . Sait ipo kibah mkoa wa pwani.
Lakn pia nipen namn nitavyowez bana matumizi wakt wa ujenz___
Picha chin ya ramani.
Msing tayari, fundi ali modifai kdogo czan kama aliendan na mawazo yako. Aksnt kwa maelekezo mazurWakati wa kupandisha boma, inabidi uedit ramani yako. Mfano hapo mbele ya sebule, mlango na dirisha vimetenganishwa na ukuta wa sentimita 25, ambapo hiyo distance ni ndogo sana.
Sio hivyo tu, hata kwenye mlango wa kutokea jikoni pia ni hivyo hivyo
Minimum distance ambayo ilikuwa inahitajika hapo ni sentimita 45 ambapo katika ujenzi wake inakuwa unafatanisha tofali nzima na tofali za nusu vipande mpaka unafika juu, kwa hivyo itakulazimu upunguze ukubwa wa dirisha ili uweze kujenga kuta imara japo kuwa inapendeza zaidi ikiwa sentimita 70 ili iwe imara zaidi (tofali zima linaungana na nusu kipande, kozi inayofata unakuwa unabadilisha position ya tofali zima kulia na kushoto)
Umesema master 2, mbona naona moja?
Hapo inabidi uongeze mil 4 ili upaue kabisa.
Hizo utaishia njiani.
Shida ipo kwny kupaua, ndio utatumia gharama kubwa kabla ya finishing! Na inategemea aina ya bati utakalo ezekea.
Ila hizo ni gharama za ujenzi wakawaida kabisa, mtaani y
Bati ni kawaida mkuu ntazo tumiaUmesema master 2, mbona naona moja?
Hapo inabidi uongeze mil 4 ili upaue kabisa.
Hizo utaishia njiani.
Shida ipo kwny kupaua, ndio utatumia gharama kubwa kabla ya finishing! Na inategemea aina ya bati utakalo ezekea.
Ila hizo ni gharama za ujenzi wakawaida kabisa, mtaani yaani.
Hapo utahitaji estimationsSawa __ mkuu
Aksnt mkuu , kwa mchanganuo huu nitawez kupau na kuweka mlango wa mkubwa wa mbele na nyuma na madirsha ya chuma na kuhamiaHapo utahitaji estimations
Tofali 1,500 hadi top course
Cement 15
Nondo si chini ya 6 kwenye renta
Kokoto debe 50
Mchanga trip 2 za tiper
Jumlisha pesa ya fundi itakayobaki ndio utafurukuta nayo kwenye kupaua na bati
Note: Hayo ni mahesabu madogo hope yatazidi
Tofali 1500 = Tshs 1,500,000Hapo utahitaji estimations
Tofali 1,500 hadi top course
Cement 15
Nondo si chini ya 6 kwenye renta
Kokoto debe 50
Mchanga trip 2 za tiper
Jumlisha pesa ya fundi itakayobaki ndio utafurukuta nayo kwenye kupaua na bati
Note: Hayo ni mahesabu madogo hope yatazidi
Material pande hizo yapo chini sana uku kwetu mchanga trip 1 tsh 100,000Tofali 1500 = Tshs 1,500,000
Nondo 6. Tshs 120,000
Mchanga 120,000/-
Kokoto 120,000
Fundi 1,000,000/-
Gharama za ziasda 600,000/-
Almost tshs 3,350,000/-
Baki 6,6350,000(hii bati na madirisha .
Cna mkuu , ambacho ninacho ni hayo.matofali kiukweliMaterial pande hizo yapo chini sana uku kwetu mchanga trip 1 tsh 100,000
Pia 6.6ml kwenye kupaua na bati hapo sina uhakika kama itabaki sent ya madirisha au mbao unazo?
Yupo sahihi kama zitapungua ni kidogo sana vipi kuhusu mbao za kupauliaCna mkuu , ambacho ninacho ni hayo.matofali kiukweli
Makadirio ya fundi kwenye bati ni bati 85/maximum 90.
29k × 85 = 2,465,000Cna mkuu , ambacho ninacho ni hayo.matofali kiukweli
Makadirio ya fundi kwenye bati ni bati 85/maximum 90.
Pambana mkuu ujenzi hautaki kulaza damu wala kuonea pesa hurumaNatak kuforce ni paue niwek madirisha nipokee umeme mlango wa mbele na nyuma na kuhamia. Cjui itakuwaje__