Hatua sita za uumbaji

Uumbaji wa Kimungu ni tofauti na uumbaji wa mwanadamu, yeye alitamka na ikawa
Sawa,mm nataka kufahamu kama ilkuwa usiku au mchana au hali gani?maana usiku na mchana yaani dunia na jua
muda huo havikuwepo.
 
....zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwepo na zitarudi tena...hakuna kidumucho milele iwe furaha ama huzuni kushuka au kupanda, kukwama au kufanikiwa. ...

Ni Kweli kabisa Mshana Jr....! Hakuna lisilo Na mwisho!
 
Mungu huwa anapumzika mkuu?Tuache masihara na suala la uumbaji wa Mungu.
 
Mungu huwa anapumzika mkuu?Tuache masihara na suala la uumbaji wa Mungu.
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
mshana Jr acha kudanganya watu kwa simple mind kama hiZi!Wewe umeshindwa hadi leo kuthibitishwa kwamba MUNGU yupo.

Hivi inakuwaje mungu apumzike?MUNGU anahitaji kupumzika?All knowing all perfect anahitahi mapumziko?.Je anatofauti gani na mwanadamu?.Kwa maana nyingine mungu anachoka?.

HAKUNA MUNGU
....Free ideas...
 
Kama hizi haya ndio mawazo huru basi kazi ipo
 
Kama hizi haya ndio mawazo huru basi kazi ipo

Wewe huna hoja yenyw mashiko zaidi ya kudanganya watu humu na vistory vyako vya kichawi vya ku-google na ku-translate into swahili.Huwa uwezo wa kujadili hoja mezani.
Kuna siku nilikuambia kitu naona hukuzingatia lakini siku ZAJA UTAKUMBUKA
.........Free ideas...
 
Ooh kumbe...! Hebu weka link moja tu niliyo Google kujustify your allegations nitakuona wa maana sana laa sivyo ukishindwa nitakuona mpuuzi kuliko wale vijana wenye tabia za kishoga
Nakuhahakishia unachoweza kuandika wewe ni vitu kama hivi vya kimbeambea na ujuaji wa kipuuzi nje ya hapo huwezi jenga hoja yoyote labda ziwe za rusharoho
 
Sik
Sisi binaadamu tunahisabu siku kutokana na usiku na mchana na nilazima kuwepo jua na dunia,wakati mungu anaumba hivyo vitu havikuwepo je ni siku gn Mungu alizo tumia kuumba hivyo vitu?
Siku sita au saba au tatu ni namba zenye maana fulani tu.Haimaanishi Mungu alitumia kweli siku sita.Tafsiri halisi ni kwamba Mungu alichukua muda kadhaa kabla ya kukamilisha uumbaji wa kila kitu na hatimaye kufanya tathimini(kupumuzika).
 
Inashangaza pale unapojifunza kuwa Mungu yupo systematic sana.

Musa aliandika Mungu aliumba dunia kwa siku sita... ila ukweli ni kuwa Mungu hafungwi na muda yeye yupo nje ya muda.. ukiangalia pia muda uliumbwa na Mungu (rejea Mwanzo 1:1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbigu na nchi/ In the beginning, God created heaven and earth).

In the beginning: hii inaelezea kuwa kitu cha kwanza kuumbwa katika Ulimwengu ilikuwa ni Muda=Time. Beginning inaonyesha mwanzo wa count down.. yani muda.. kama ni saa basi ilianzia hapo.

God created Heaven: Hapa tunaona Mungu aliumba Mbigu/ space

And Earth: hapa tunaona Mungu aliumba matter ( gas, solid and liquid) hizi ndio aina kuu tatu ya vitu vinavyopatikana katika dunia na mbingu (space)

Kwa hiyo Biblia imeandika vitu ambavyo wanasayansi wametumia miaka maelfu kuvitambua.. ya kuwa Ulimwengu au Universe ina vitu vikuu vitatu.. Matter.. space/time.

Na cha ajabu.. Mungu aliumba mwanadamu mmoja tu kutoka kwenye udongo.. Hawa au Eva alitoka kwa Adamu.. hivyo Mungu hakurudi tena kwenye udongo mara mbili. Na aliweka ndani yao dunia nzima kupitia mbegu za uzazi.. sawasawa na mimea ambayo aliiumba mara moja tu.. na kuweka mbegu ndani yake ili iendelee kuzaa mpaka mwisho wa Dunia.

Mungu wetu ni wa ajabu sana..
 
Sawa,mm nataka kufahamu kama ilkuwa usiku au mchana au hali gani?maana usiku na mchana yaani dunia na jua
muda huo havikuwepo.
Tunaposoma Biblia yatupasa tuelewe maudhui ya mwandishi ni nini.Wale waandishi walifunuliwa hayo maudhui ( skeletons) lakini ili tuyaelewe ilipaswa yaelezwe katika lugha tunayoielewa (Skeleton kuwekewa nyama). Haiwezekani "Form" yoyote ya Mungu ikaeleweka kwetu vile vile bila decoding kwanza kufanyika. Chukulia mfano wa watu wa Programing lugha wanayotumia si kile unachokiona wewe kwa macho.

Ili kueleweka ninachokisema angalia jinsi Yesu alipotaka kuja kwetu ilibidi achukue "form" sawa na yetu: awe na milango sita ya fahamu ndio tuelewane.
 
Hongereni ziko vizuri hizo replies zenu
 
Hebu na wewe thibitisha bila kuacha chembe ya Shaka kuwa hakuna Mungu
 
Ww mshana kama mambo ya kichawi haugoogle ina maana wewe ni mchawi hadi unaujua uchawi vile?
 
Biblia inasema kwa mungu miaka 1000 ni sawa siku moja na siku 1 ni sawa na miaka 1000.

Na kwanini ww mshana usiseme mungu aliuumba ulimwengu kwa miaka 6000 na miaka 1000 akapumnzika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…