Wadau kila binadamu tokea kuzaliwa anapitia hatua nyingi na hii ni kulingana na sababu kadhaa ikiwemo mazingira,imani itikadi n.k.
Hata hivyo zifuatazo ni badhi tu ya hatua muhimu kwa baadhi ya watu wanazotakiwa kuzipitia;-
1) Kuzaliwa
2) Ubatizo
3)Kipaimara & Komunio
4) Nursery School
5)Primary School.
6) O level
6) Advanced Level
7) University degree- Mlimani
8) Posa
9) Kitchen Party ( ke)
10) Send off ( ke)
11)Harusi
12) Watoto
13) Wajukuu.
Karibuni.