Tupambane kufa na kupona kujiweka sawa tusikumbwe na athari za hiyo vitaMtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.
Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima mkubwa ambao hataweza kuupanda, na hivyo aachane na vita.
=====================
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ametoa wito wa kupelekwa silaha zaidi nchini Ukraine. Katika mahojiano yake na shirika la habari la Ujerumani, DPA, Stoltenberg amesema msaada wa kijeshi kwa Ukraine ni njia ya haraka ya kupatikana kwa amani. Amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapaswa kushawishiwa kwamba hatoweza kufanikiwa katika lengo lake la kuidhibiti Ukraine. Ameongeza kusema kuwa kila nchi ina haki ya kujilinda. Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa NATO, panaweza kuwepo suluhisho la mazungumzo ya amani kuhakikisha kwamba Ukraine inashinda kama taifa huru la kidemokrasia. Stoltenberg ameweka wazi kwamba anayachukulia mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Urusi kuwa halali.
DW
Kweli kabisa aisee, dunia tuliyopo sasa, vita sio njia inayopaswa kutumika kwa vyovyote vile 🤝Ila hii vita nikiangalia raia , wanajeshi wanavyokufa Pande zote mbili nikija kuangalia Na sababu iliyopelekea vita yenyewe inasikitisha Sana
Hakukuwa Na haja kabisa YA watu kufa kiasi hichi.
Kuna watu hawajui kuwa NATO walianza kupeleka silaha ukraine tangu mwaka 2014 na walikuwa wanawafundisha wanajeshi wa ukraine. Waliweka mkataba wa amani wa Minsk hiyo 2014 na 2015 ili kuipa nafasi ukraine kujiandaa kwa vita!!Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.
Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima mkubwa ambao hataweza kuupanda, na hivyo aachane na vita.
=====================
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ametoa wito wa kupelekwa silaha zaidi nchini Ukraine. Katika mahojiano yake na shirika la habari la Ujerumani, DPA, Stoltenberg amesema msaada wa kijeshi kwa Ukraine ni njia ya haraka ya kupatikana kwa amani. Amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapaswa kushawishiwa kwamba hatoweza kufanikiwa katika lengo lake la kuidhibiti Ukraine. Ameongeza kusema kuwa kila nchi ina haki ya kujilinda. Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa NATO, panaweza kuwepo suluhisho la mazungumzo ya amani kuhakikisha kwamba Ukraine inashinda kama taifa huru la kidemokrasia. Stoltenberg ameweka wazi kwamba anayachukulia mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Urusi kuwa halali.
DW
Kwa hiyo unadhani sababu iliyopelekea vita ni nyepesi sana ukilinganisha na madhara ya mauaji? Nikuulize: Je ukijua kuwa kuna nyoka kajificha karibu na mlango wa nyumba yako labda kulikuwa na mazagazaga fulani hapo, je utaweza kulala kwa amani?? Ujue NATO kuingia ukraine ni sawa na nyoka kuwa kwenye mlango wa urusi! Unajua kwa nini?Ila hii vita nikiangalia raia , wanajeshi wanavyokufa Pande zote mbili nikija kuangalia Na sababu iliyopelekea vita yenyewe inasikitisha Sana
Hakukuwa Na haja kabisa YA watu kufa kiasi hichi.
Mtu keshaweka mfukoni majimbop manne tayari na mpinzani wake kila leo anategemea omba omba ya silaha na fedha za NATO halafu unasema hawezi kushinda wakati keshashinda tayari! Ni kama vile Rwanda ikatushambulia halafu ikateka b kagera, kigoma, mwanza na shinyanga na kuzifanya kuwa sehemu ya Rwanda, halafu sisi tudai kuwa Kagame hatashinda eti kwa kuwa tunategemea uganda ataendelea kutusaidia silaha!! Hiyo itakuwa ni kufikiri kwa kutumia tumbo!!Mzee Putin hana ujanja tena, hii Vita hataweza kushinda.
Urusi waishambulie basi Finland na Sweden ambao wameshaomba jiunga na NATO.Kwa hiyo unadhani sababu iliyopelekea vita ni nyepesi sana ukilinganisha na madhara ya mauaji? Nikuulize: Je ukijua kuwa kuna nyoka kajificha karibu na mlango wa nyumba yako labda kulikuwa na mazagazaga fulani hapo, je utaweza kulala kwa amani?? Ujue NATO kuingia ukraine ni sawa na nyoka kuwa kwenye mlango wa urusi! Unajua kwa nini?
Huo muda nyukiria iko wapi?Putin kayakanyaga[emoji38]
NATO wanaenda nae mdogo mdogo mpaka pumzi ikate dadeki[emoji3061]
Mwisho wa siku anawekwa rokap na mahakama ya kijeshi inaendesha kesi palepale Moscow then kitanzi kama sadam.[emoji2][emoji2]
Mmeambiwa kwy makanisa yenu ya vichochoroni na mchungaji ambae kapata division zero form four. Mkiwa kwy ivyo vikanisa mjaribu kuitumia na akili ambae mwenyezi mungu kakujaliaSo tumeambiwa vita kuu ya tatu ya dunia inaanza 2023? Tuisubiri tu ianze
Hapa ndo tujue kuna nguvu ya kawaida ya kiroho iliyo nyuma ya haya mapigano yote.Ila hii vita nikiangalia raia , wanajeshi wanavyokufa Pande zote mbili nikija kuangalia Na sababu iliyopelekea vita yenyewe inasikitisha Sana
Hakukuwa Na haja kabisa YA watu kufa kiasi hichi.
Huwez mpangia jiran yako marafiki wa kuwa naye Huo Ni ujinga, Ukraine Ni nchi huru iachwe iamue mambo yake.Kwa hiyo unadhani sababu iliyopelekea vita ni nyepesi sana ukilinganisha na madhara ya mauaji? Nikuulize: Je ukijua kuwa kuna nyoka kajificha karibu na mlango wa nyumba yako labda kulikuwa na mazagazaga fulani hapo, je utaweza kulala kwa amani?? Ujue NATO kuingia ukraine ni sawa na nyoka kuwa kwenye mlango wa urusi! Unajua kwa nini?
Tatizo lao wamejiweka zaidi na akili za kasumba kama yeye anaeutajataja mda wote na yeye yumiongoni mwao maana kila muda hayo maneno hayatoki vinywani mwao. Msamehe tu.Maelfu kwa maelfu ya watu duniani wakiwemo viongozi wakuu wa nchi na Serikali huitembelea Marekani; hufuata ushoga? Unajua kila mwaka Marekani hupokea watalii na wafanya biashara wangapi duniani kote? Wote hao wanashabikia ushoga?
Unajua ni nchi ipi China inauza zaidi? Ni Marekani; China wanashabikia ushoga? Unajua uarabuni products zao wanauza zaidi nchi gani? Sina hakika kama unajua ulichokiandika!
Kinachonishangaza ni kuwa msaada aliopeleka Marekani hapo Ukraine mpaka sasa unazidi bajeti ya wizara ya ulinzi ya Urusi, Ujerumani, Ufaransa na manchi mengine ila bado pagumu.Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.
Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima mkubwa ambao hataweza kuupanda, na hivyo aachane na vita.
=====================
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ametoa wito wa kupelekwa silaha zaidi nchini Ukraine. Katika mahojiano yake na shirika la habari la Ujerumani, DPA, Stoltenberg amesema msaada wa kijeshi kwa Ukraine ni njia ya haraka ya kupatikana kwa amani. Amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapaswa kushawishiwa kwamba hatoweza kufanikiwa katika lengo lake la kuidhibiti Ukraine. Ameongeza kusema kuwa kila nchi ina haki ya kujilinda. Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa NATO, panaweza kuwepo suluhisho la mazungumzo ya amani kuhakikisha kwamba Ukraine inashinda kama taifa huru la kidemokrasia. Stoltenberg ameweka wazi kwamba anayachukulia mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Urusi kuwa halali.
DW
Ya kweli hayo?!Kinachonishangaza ni kuwa msaada aliopeleka Marekani hapo Ukraine mpaka sasa unazidi bajeti ya wizara ya ulinzi ya Urusi, Ujerumani, Ufaransa na manchi mengine ila bado pagumu.
Ila kumbuka china nae yupoPutin kayakanyaga[emoji38]
NATO wanaenda nae mdogo mdogo mpaka pumzi ikate dadeki[emoji3061]
Mwisho wa siku anawekwa rokap na mahakama ya kijeshi inaendesha kesi palepale Moscow then kitanzi kama sadam.[emoji2][emoji2]
Nato chini ya Us wanapumulia mashine, duniani hakuna jeshi bora kama la Putin.Mzee Putin hana ujanja tena, hii Vita hataweza kushinda.
Mkuu inaonekana unahusudu sana mapenzi ya jinsia moja, sijui tatizo litakuwa nini hadi umeingia kwenye huo mkumbo.Upo nyuma ya taarifa. Majasusi ya Kremlin yametengeneza Putin kama watatu hivi (body double)wanafanana hivyo hivyo na wote wanaoparate. Putin halisi hajulikani. Mishoga na waviziaji hawaelewi cha kufanya.
Mkuu ulipatwa na nini hadi ukaanza kushiriki mapenzi ya jinsia moja ?Sasa wasengerema wa NATO badala ya kuingia kupigana wanakuwa kama mashoga wao wanaogopa wanatoa msaada [emoji23]
Utakuwa unawashwa ww. Hakuna habari ya jinsia moja kwenye comment yangu hapoMkuu inaonekana unahusudu sana mapenzi ya jinsia moja, sijui tatizo litakuwa nini hadi umeingia kwenye huo mkumbo.