Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 443
- 729
NATO walipeleka silaha ndo kwanza mikoa minne ikaondoka[emoji1787]Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.
Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima mkubwa ambao hataweza kuupanda, na hivyo aachane na vita.
=====================
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ametoa wito wa kupelekwa silaha zaidi nchini Ukraine. Katika mahojiano yake na shirika la habari la Ujerumani, DPA, Stoltenberg amesema msaada wa kijeshi kwa Ukraine ni njia ya haraka ya kupatikana kwa amani. Amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapaswa kushawishiwa kwamba hatoweza kufanikiwa katika lengo lake la kuidhibiti Ukraine. Ameongeza kusema kuwa kila nchi ina haki ya kujilinda. Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa NATO, panaweza kuwepo suluhisho la mazungumzo ya amani kuhakikisha kwamba Ukraine inashinda kama taifa huru la kidemokrasia. Stoltenberg ameweka wazi kwamba anayachukulia mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Urusi kuwa halali.
DW
Mzee Putin hana ujanja tena, hii Vita hataweza kushinda.Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.
Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima mkubwa ambao hataweza kuupanda, na hivyo aachane na vita.
=====================
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ametoa wito wa kupelekwa silaha zaidi nchini Ukraine. Katika mahojiano yake na shirika la habari la Ujerumani, DPA, Stoltenberg amesema msaada wa kijeshi kwa Ukraine ni njia ya haraka ya kupatikana kwa amani. Amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapaswa kushawishiwa kwamba hatoweza kufanikiwa katika lengo lake la kuidhibiti Ukraine. Ameongeza kusema kuwa kila nchi ina haki ya kujilinda. Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa NATO, panaweza kuwepo suluhisho la mazungumzo ya amani kuhakikisha kwamba Ukraine inashinda kama taifa huru la kidemokrasia. Stoltenberg ameweka wazi kwamba anayachukulia mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Urusi kuwa halali.
DW
... jinga lile lizee! The best option aliyobaki nayo ni nukes; uwanja ni wake.Mzee Putin hana ujanja tena, hii Vita hataweza kushinda.
Yaani nyie wauza maandazi wa Bunju ndio mnaakili kuliko Rais Putin... jinga lile lizee! The best option aliyobaki nayo ni nukes; uwanja ni wake.
Sidhani kama atathubutu....kama akijaribu huenda akapata upinzani hata miongoni mwa 'inner circle' yake....(japo uwezekano huo bado upo)... jinga lile lizee! The best option aliyobaki nayo ni nukes; uwanja ni wake.
Kila nikitafakari misimamo ya Putin, na ego ya Urusi aisee nami ninaogopaSo tumeambiwa vita kuu ya tatu ya dunia inaanza 2023? Tuisubiri tu ianze
Sawa inawezekana hataweza sasa je atakubali kwamba ameshindwa?! Sio atanyanyua nyuklia?!Mzee Putin hana ujanja tena, hii Vita hataweza kushinda.
Hicho ndicho kilichobakia, tatizo ni kwamba hataki kuamini kwamba maji aliyoyaingia yamemzidi kimoPutin kayakanyaga[emoji38]
NATO wanaenda nae mdogo mdogo mpaka pumzi ikate dadeki[emoji3061]
Mwisho wa siku anawekwa rokap na mahakama ya kijeshi inaendesha kesi palepale Moscow then kitanzi kama sadam.[emoji2][emoji2]
Inawezekana. Kesi kwake ni lazima hata Ukraine walishasema kwamba wanaendelea kukusanya ushahidi tuu, bado mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu.Putin kayakanyaga[emoji38]
NATO wanaenda nae mdogo mdogo mpaka pumzi ikate dadeki[emoji3061]
Mwisho wa siku anawekwa rokap na mahakama ya kijeshi inaendesha kesi palepale Moscow then kitanzi kama sadam.[emoji2][emoji2]
PUT IN sio ALBASHIRInawezekana. Kesi kwake ni lazima hata Ukraine walishasema kwamba wanaendelea kukusanya ushahidi tuu, bado mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu.
Nadhani Putin ataweza kupona dhidi ya kesi zitakazoweza kufunguliwa dhidi yake kwa makubaliano ya mezani pekee
Nahisi atakuwa yule wa goba kulangwaPutin atakayeshtakiwa kwa kesi za uhalifu wa kivita ni yule wa goba au wa RUSIA?
Hawa mashoga fc walisema Putin yupo hoi.