Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

Ilikuwa zamani tulipokuwa tunasaga soli za viatu au matairi ya gari kumfukuzia demu miezi na miezi. Kwa sasa wanawake ni wengi kuliko wanaume rijari kwa hiyo tunakonyeza tu kwa jicho demu keshaingia laini.
 
Hayo yote yanajummlishwa na kua na pesa.

Ukishakua na hela wala huhitaji hayo yote, money talks.

Wanawake wa sasa hawazuzzuliwi na maneno, wanazazuliwa na pesa tu.
 
Mbona huwaambii wanaume wawe na maufundi kwenye swala zima la kugegeda? bila kuwa na uhodari wa kugegeda ni bure tu hayo yote.
 
Wanasemaga Watz hatuna tunachojua,ila mi nahisi kwenye sector ya mapenzi kila Mtz ni fundi na mchambuzi
 
Labda ni hatua za kusogeza cku mlioko njia kuu,c wa michepuko huo mda hatuna,money talks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…