Hatonisahau huyu binti

Sasa hatokusahau kwa kumpa laptop au?
story ndeeeefu mi nkajua ananyonyesha ka Nkola kadogo sa hiz!
 
ulizingua mkuu demu kajitupa kitandani ukaacha daah yani kutafuna ulishindwa hata kumumunya daah umezingua sio uwanaume huoo
Nawaza tu kama ingekua wewe haraka ambazo ungefanya yamkini ungeingiza jichoni ukidhani ndo kwenyewe
 
Da haya mkuu na kuwakumbuka wahenga nadhani nastahili pongezi kwa kuwa nimekukumbusha
Baada ya kusoma uzi wako nimewakumbuka wahenga


Penye miti mingi hakuna wajenzi.



upele umemfika asiye na kucha.
 
Toa uupuzi wako hapa kwanza uandishi wa hovyo kama akili yako.
Siyo vyote mkuu vitakufurahisha vingi ne vitakuudhi na kukufedhehesha usijali sana ndo maisha yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…