Hatonisahau huyu binti

Wanawake huwa wanakawaida ya kuringa sana ukimtokea hata kama alikuwa anakulia mingo, ili tu uone yeye ni wa muhimu sana kwako akuzubaishe kidogo ili kidume upapalike sana . Hivyo ndo nafanyaga na Mimi mwanamke akijitia ananipenda akapiga sound na mzungusha kweli kweli , ili naye aonje joto ya jiwe jinsi amabayo tunatesekaga kuwapata

Huyu alijigaragaza kitandani wee eeee mi napiga book tu tena msuli unapanda vzr sana

Lkn pia nikiwa sina mawazo ya kusasambula siwezi kudindishuuuuu

Badaye nikaanza kumcheka tu anajibiringisha tu kama gunia lilowemwa karunguyeye kwa ndani hata zile movie alizoomba kucheki anacheki hii anatoa anaweka hii ila usiombe kumuona mwanamke amepandwa ngenye yaani anaweza kubutuliwa na mtu yeyote aki ya Nani nilibaki nacheka tu maana havikuwa vituko hivo
 
Nkola wewe!!!!!
 
Bwege .... kwa namna ya uandishi wako unaonekana kabisa wewe huko smart kiasi ya kufanyiwa ushawishi na kidemu cha mtaa ukastahamili, mstaarbu wa kuzuia matamanio yake na tashwish za mwananmke katu tena abadan hawez kuepuka mitihani kama hiyo halaf akaja mbele ya kadamnasi ya waungwana akajisifu ati kafanikiwa kuepuka kufanya dhambi ya kulala na mwanamke bae si halal yake, atakachokifanya ni kushukuru na kuomba Mungu amsaidie na kumuepusha na dhambi na mitihani ya namna hiyo na mengineyo, vyenginevyo kuna kitu ulikuwa unakikwepa na kukiogopa.
 
Uanaume wa dar huu. Hivi hivi ukamuache? Sujawah kufanya hayo makosa...
 
Kuna watu wanastahili kutunukiwa vyeti vya upumbavu uliokithiri.

Wafanyiwe na sherehe, wakabidhiwe vyeti kwa msafara wa matarumbeta!

Mfano: Bachelor degree in extraordinary foolishness and associated outstanding stupidity!

Acha nilale mimi.
 
Kama kweli upo chuo kikuu basi kesho inabidi nimpelekee huu uzi Ndalichako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…