Hatma ya William Ruto ICC kujulikana leo

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Mahakama ya jinai ya kimataifa -ICC leo inatarajiwa kutoa uamuzi ambao huenda ukakuwa na athari kwa kesi inayomkabili naibu rais wa Kenya William Ruto. Bwana Ruto na mushtakiwa mwenzake, mwana habari Joshua arap sang wameshatkiwa kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu kuhusiana na ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu wa 2007.

Mashtaka kama hayo yaliyomkabili rais Uhuru Kenyatta yalifutiliwa mbali na mwendesha mkuu wa mashataka ya ICC, Fatou Bensouda kwa ukosefu wa ushahidi. (BBC)
 
Huyo ruto wanampotezea tu muda wake ,,kama uhuru kachomoa sidhani kama kuna nguvu tena ya kumtia hatiani ruto
 
Back
Top Bottom