geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
Samahani wakuu,
Naomba kujua hatma ya walimu wa sanaa (ARTS) waliopo vyuoni na wale waliomaliza chuo toka 2015. Naona kama washatupwa, zikiongelewa ajira mpya wanajisifu na zile ajira elfu tatu za sayansi ila kuna lundo la vijana wetu zaidi ya elfu ishirini waliomaliza chuo mwaka juzi hawajui nini mwisho wao.
Najua hapa ni google rapa chochote utakachouliza kitapatikana jawabu lake.
ASANTENI