Hatma ya vijana kisiasa Tanzania

Hatma ya vijana kisiasa Tanzania

SHILLINGS

Senior Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
160
Reaction score
648
Wanajamvi naomba nikiri wazi kwamba naandika mada hii nikiwa na masikitiko makubwa sana.Nimejaribu kufuatilia maisha ya kisiasa ya vijana ambao waliondoka/walifukuzwa CHADEMA kutokana na mienendo yao ya kisiasa na kusitika sana.Nidiriki kusema kwamba Mh.Zitto Kabwe amechangia sana kuwaweka vijana hawa kwenye majonzi makubwa sana.

Mh.Zitto ni moja ya vijana waliofanikiwa sana kubadilisha mitazamo ya vijana kuhusu masuala ya kisiasa na kushawishi vijana wengi kujiunga na siasa na hata kupelekea vijana wengi kugombea ubunge kupitia CHADEMA 2010.Lakini mienendo ya Zitto na ushawishi wake kwa vijana umeacha majonzi wakubwa sana kwa vijana.

Leo vijana waliopotezewa future na Zitto wamekuwa wanaishi maisha ya kuombaomba,wale wa kike wamekuwa chakula ya wakubwa,kuna baadhi walikuwa walimu wamefukuzwa,waliogombea ubunge kupata mtaji mkubwa kwa uchaguzi wa 2015 sasa hawana jukwaa la kisiasa.

Kuna kijana mmoja yeye alijiunga na NCCR na baada ya muda mfupi alikuwa Katibu wa uenezi vijana,akapewa kazi kwenye taasisi ya Mbatia akafukuzwa kwa kukosa maadili leo hii ukimuona na kumsikiliza inasikitisha,amekata tamaa ya maisha kabisaaa.

Mh.Zitto Kabwe nasikitika sana kwa kitendo chako cha kurudisha nyuma harakati za baadhi ya vijana katika kupigania haki,uwazi na uwajibikaji katika Taifa hili.Vijana hawa walikuamini na kutoaminika,historia ina kila sababu ya kukuhukumu, tatizo lako ni kuwaona watanzania ni wajinga na una akili kuliko wanasiasa wote wa upinzani Tanzania.Umejenga imani kwamba bado unauwezo wa kuwashawishi watanzania ukiwa kama Zitto,kuwashawishi watanzania kwasababu ni watu wepesi wa kusahau.

Hatuwezi kubadilisha taifa hili bila kubadilisha fikra zetu,fikra za Zitto zinapaswa kushawishi fikra za wengine na si kupotosha kwa makusudi.Vilevile fikra za vijana wa CHADEMA zisiwe fikra za utumwa bali fikra kutoa mwanga kwa jamii nzima juu ya nini chama kinasimamia.Tusiwe ufuasi wa watu bali wafuasi ya falsafa,itikadi,sera na maadili mema.

Mungu wape ufahamu na busara vijana wa Tanzania,tuna jukumu kubwa kwenye kizazi hiki.
 
Hii thread haiwezi kudumu kwa siku nzima ya leo. kama huamini wait n see.
 
acha uongo we shetani, Mbatia hajawahi kumfukuza zaidi ukweli kamuulize.
 
mleta mada; sikupenda sana kuchangia mada katika kipindi hiki ila nimeshawishika kukuuliza swali: unataka kutuambia kuwa vijana ni dependent variable, na zitto ni independent variable, hivyo mwelekeo wa zitto ni lazima uathiri na bila shaka ndio unao dertamine mwelekeo wa vijana?samahani lakini!
 
Kigoma mjini=Kisandu naomba usijijibu mwenyewe,usujifariji mwenyewe wakati ukweli unaujua na unajua kabisa upo katika wakati mgumu kisiasa,tafakari kwa umakini safari yako ya kwenda CCM ndio itajiongezea maumivu zaidi.

Ulifanya siasa kama ajira yako rasmi na kuifanya kwa papara bila kuangalia athari zake.Tafakari
 
Guys relax. Life is always and has always been about choices. And choices have always been followed by consequences! So, to obtain good results, one has to invest in good choices first!

Zito siyapendi baadhi ya mambo yake. Lakini hainipi shida, namfahamu vizuri kwani nilisoma naye Tosamaganga Sec. Lakini hakuna haja ya kumlaumu Zito kwa hilo la vijana. Kila mtu anafanya uchaguzi mwenyewe na anakutana na matokeo ya uchaguzi wake mwenyewe! ZIto anatokea wapi hapo?

Life is how we make it to be. Everybody who happen to be born, already have a life. But to survive, one have got to make things that will make him/her prevail. There fore the law of natural selection remains active, where in the end, only the fittest gets to survive. I insist, THE FITTEST! Now siyo kosa la anayekuzaa, ni kosa lako wewe kutojua kuchagua mambo yatakayokufanya u-survive, hasa unapokuwa mtu mzima. Kwa mfano: Wewe kuzaliwa na kukuta familia yenu ni maskini,hilo ni kosa la wazazi wako, lakini wewe kukubali kufa maskini, hilo ni kosa lako mwenyewe!
 
Wanajamvi naomba nikiri wazi kwamba naandika mada hii nikiwa na masikitiko makubwa sana.Nimejaribu kufuatilia maisha ya kisiasa ya vijana ambao waliondoka/walifukuzwa CHADEMA kutokana na mienendo yao ya kisiasa na kusitika sana.Nidiriki kusema kwamba Mh.Zitto Kabwe amechangia sana kuwaweka vijana hawa kwenye majonzi makubwa sana.

Mh.Zitto ni moja ya vijana waliofanikiwa sana kubadilisha mitazamo ya vijana kuhusu masuala ya kisiasa na kushawishi vijana wengi kujiunga na siasa na hata kupelekea vijana wengi kugombea ubunge kupitia CHADEMA 2010.Lakini mienendo ya Zitto na ushawishi wake kwa vijana umeacha majonzi wakubwa sana kwa vijana.

Leo vijana waliopotezewa future na Zitto wamekuwa wanaishi maisha ya kuombaomba,wale wa kike wamekuwa chakula ya wakubwa,kuna baadhi walikuwa walimu wamefukuzwa,waliogombea ubunge kupata mtaji mkubwa kwa uchaguzi wa 2015 sasa hawana jukwaa la kisiasa.

Kuna kijana mmoja yeye alijiunga na NCCR na baada ya muda mfupi alikuwa Katibu wa uenezi vijana,akapewa kazi kwenye taasisi ya Mbatia akafukuzwa kwa kukosa maadili leo hii ukimuona na kumsikiliza inasikitisha,amekata tamaa ya maisha kabisaaa.

Mh.Zitto Kabwe nasikitika sana kwa kitendo chako cha kurudisha nyuma harakati za baadhi ya vijana katika kupigania haki,uwazi na uwajibikaji katika Taifa hili.Vijana hawa walikuamini na kutoaminika,historia ina kila sababu ya kukuhukumu, tatizo lako ni kuwaona watanzania ni wajinga na una akili kuliko wanasiasa wote wa upinzani Tanzania.Umejenga imani kwamba bado unauwezo wa kuwashawishi watanzania ukiwa kama Zitto,kuwashawishi watanzania kwasababu ni watu wepesi wa kusahau.

Hatuwezi kubadilisha taifa hili bila kubadilisha fikra zetu,fikra za Zitto zinapaswa kushawishi fikra za wengine na si kupotosha kwa makusudi.Vilevile fikra za vijana wa CHADEMA zisiwe fikra za utumwa bali fikra kutoa mwanga kwa jamii nzima juu ya nini chama kinasimamia.Tusiwe ufuasi wa watu bali wafuasi ya falsafa,itikadi,sera na maadili mema.

Mungu wape ufahamu na busara vijana wa Tanzania,tuna jukumu kubwa kwenye kizazi hiki.
Sipendi kulizungumzia hili but...

Juliana Shonza ni nyota iliyozimwa na waliotakiwa kumsaisia.Nilijaribu kadiri ya uwezo wangu.

Miongoni mwa vijana wote hao,yeye alikua na potentials but i still believe she can reclaim her dream and ambitions. Huyu ni Victim tu wa Wanasiasa wanaoweza kumkanyaga kila mtu ili wafike wanakotaka.

Najua hawezi kukiri hili
 
mleta mada; sikupenda sana kuchangia mada katika kipindi hiki ila nimeshawishika kukuuliza swali: unataka kutuambia kuwa vijana ni dependent variable, na zitto ni independent variable, hivyo mwelekeo wa zitto ni lazima uathiri na bila shaka ndio unao dertamine mwelekeo wa vijana?samahani lakini!

Kuna msemo mmoja "An empty stomach is not good political advisor" nadiriki kusema kwamba vijana hawa hawakuwa na independent though,papara ziliwaponza,matumbo yao yaliwaponza.

Tofauti ya kijana na kijana haitokani na umri tu bali upevu wa kifikra,Zitto was thinking beyond them and he was using them at the same time.Na kutokana na kwamba kile ambacho alifikiri na kuwaahirikisha matunda yake yalikuwa finyu he is in the better position kisiasa kuliko wao,kwa kifupi kawapoteza
 
Sipendi kulizungumzia hili but...

Juliana Shonza ni nyota iliyozimwa na waliotakiwa kumsaisia.Nilijaribu kadiri ya uwezo wangu.

Miongoni mwa vijana wote hao,yeye alikua na potentials but i still believe she can reclaim her dream and ambitions. Huyu ni Victim tu wa Wanasiasa wanaoweza kumkanyaga kila mtu ili wafike wanakotaka.

Najua hawezi kukiri hili

Acha habari mbofu mbofu wewe na wenzako ndiyo mlikuwa na mkakati wa kumchafua july leo unaongea mambo yako ya kitoto hapa.
 
mleta mada; sikupenda sana kuchangia mada katika kipindi hiki ila nimeshawishika kukuuliza swali: unataka kutuambia kuwa vijana ni dependent variable, na zitto ni independent variable, hivyo mwelekeo wa zitto ni lazima uathiri na bila shaka ndio unao dertamine mwelekeo wa vijana?samahani lakini!

mkuu betlehem habari za siku nyingi.. Mkuu umepotea sana kwenye anga hizi. Naomba usikate tamaa kuendelea kuuelimisha huu umma humu Jf maana wengi hawajielewi kama mleta mada.
 
Tuna tatizo moja la msingi sana vijana,siyo katika siasa pekee hata katika nyanja nyingine za kiutendaji...vijana wengi wanataka madaraka,wanataka kuwa matajiri bila kuwa na miundombinu sahihi na salama yakuwa katika hali hiyo,ndio kusema inakuwa rahisi sana kwao kurubuniwa itapotokea mtu ametoa ahadi kwao....tukiacha kufikiri kwa makengeza hakika tutafika sehemu sahihi...kwa akili fupi tu..huwezi kujiunga na shetani eti kwa kuwa MUNGU kachelewa kujibu mahitaji yako...
 
john ole milya yuko wapi.

gsu Ole Millya ana jukwaa la kisiasa in comparison ya vijana waliotajwa hapo juu now is threat kwa ole sendeka jimbo la Simanjiro.

Ole Millya amejenga heshima kwenye jamii kwa sababu njia iliyomtoa CCM na tofauti na njia iliyowatoa hao vijana CDM.Nadhani unaweza ona tofauti.
 
Kigoma mjini=Kisandu naomba usijijibu mwenyewe,usujifariji mwenyewe wakati ukweli unaujua na unajua kabisa upo katika wakati mgumu kisiasa,tafakari kwa umakini safari yako ya kwenda CCM ndio itajiongezea maumivu zaidi.

Ulifanya siasa kama ajira yako rasmi na kuifanya kwa papara bila kuangalia athari zake.Tafakari

we Shillin ndio Kisandu tuna wasiwasi na wewe, acha kusingizia. umevaa chupi ya Ukawawa nini.
 
Sipendi kulizungumzia hili but...

Juliana Shonza ni nyota iliyozimwa na waliotakiwa kumsaisia.Nilijaribu kadiri ya uwezo wangu.

Miongoni mwa vijana wote hao,yeye alikua na potentials but i still believe she can reclaim her dream and ambitions. Huyu ni Victim tu wa Wanasiasa wanaoweza kumkanyaga kila mtu ili wafike wanakotaka.

Najua hawezi kukiri hili

Binafsi nampenda sana Juliana hasa kwa jinsi alivyokuwa anajituma. Ingawa ninapata wasiwasi na maauzi yake ya kujirudisha CCM. Sijui ni kwa kiasi gani anaweza kujinasua pale. I just hope she finds her way out one day.

But she could really make a good politician some days.
 
Back
Top Bottom