Siasa zinabadilika na wakati. Kuna wakati wa kuungana na kuna wakati wa kila chama kufanya mambo yake.
Lengo la ukawa limetimia, katiba mpya imekwama.
Kutokana na mazingira ya sasa kikatiba ni vizuri ukawa wakafanya maridhiano wakaenda katika kampeni za uchaguzi kila chama kikiwa na mgombea wake wa nafasi husika. Halafu baada ya kampeni kwenye sanduku la kura mgombea atakaye onekana kuwa na nguvu aungwe mkono na wenzake wa ukawa kwa maridhiano.
So maridhiano ndani ya ukawa kwa wakati huu ndio muhimu kuliko kusimamisha mgombea mmoja.
Baada ya uchaguzi watangalia walichovuna. Ndiposa watafanya maaumuzi mengine
Akizungumzuia suala hilo ,Mbatia alisema siyo kweli hakuna mwanachama yeyote wa NCCR mwenye fikra za kujitoa ndani UKAWA.Halmashauri KUU haijaitishwa kwa ajili kujadili kujitoa UKAWA.
CCM WANAANDAA KILA MBINU ZA KUIVURUGA UKAWA LAKINI HAWATAFANIKIWA.
NCCR siyo Mbatia, chama kina wenyewe hicho wakimamua watajitoa tu. Hata CUF wanasema hivyo hivyo.Akizungumzuia suala hilo ,Mbatia alisema siyo kweli hakuna mwanachama yeyote wa NCCR mwenye fikra za kujitoa ndani UKAWA.Halmashauri KUU haijaitishwa kwa ajili kujadili kujitoa UKAWA.
CCM WANAANDAA KILA MBINU ZA KUIVURUGA UKAWA LAKINI HAWATAFANIKIWA.
NCCR Mageuzi wameshtuka mnataka muwape majimbo machache tena yale tasa kama Ilala.migogoro iko CCM kati ya mamvi na joka la mdimu,Makongoro na mamvi,Wassira na Makongoro, Mwigulu na Nyalandu ilimradi vurugu tu!
Siyo changamoto ni mgogoro ndani ya Ukawa.
Bora NCCR Mageuzi wajiondoe tu.
Kila kitu kipo vizuri ndani ya UKAWA, wala msiwe na wasi wasi Makamanda.
Mwenyekiti wa NCCR taifa ni nani wewe gamba utakuwa chizi bure UKAWA haiwezi kuvunjika ccm ndo inakaribia kufa Lowasa ndo ameshikilia roho ya ccm kwa sasaNCCR siyo Mbatia, chama kina wenyewe hicho wakimamua watajitoa tu. Hata CUF wanasema hivyo hivyo.