Hatma ya Mahanga kujulikana Mei 2, 2012!

Fri, Apr 6th, 2012

Tanzania | Friday, April 6th 2012


By In2EastAfrica Staff


Makongoro-Mahanga.jpg


Deputy Minister for Labour and Employment, Dr Makongoro Mahanga



The fate of the Deputy Minister for Labour and Employment, Dr Makongoro Mahanga, will be known on May 2 this year when the High Court will give its judgment on the case challenging his victory in the 2010 general elections.



Dr Mahanga's (CCM) victory is challenged by Fred Mpendazoe of CHADEMA. The deputy minister, led by his attorney Aliko Mwamanenge, defended himself in court on Thursday saying that there wasn't any chaos at Segerea during campaigns.


However, when asked by the applicant's attorney, Mr Peter Kibatala, that if by any chance he heard and knew that one among the candidates was caught with ballot boxes, Mahanga replied that he heard the rumours but he did not know who it was.


"I heard the report but I did not know who it was and it was not my concern but the police's concern, and I did not get any call from the police," said Dr Mahanga. Mahanga argued before the court that the people of Segerea love him and it is not true that he is afraid to go to some places in the area as claimed by the applicant's attorney.


The deputy minister also said that his victory was fair and square but if the court will find that there were some anomalies then it would affect the results. He pointed out that he was proclaimed the winner with 43,554 votes against 39,150 of Mpendazoe. He also added that his nomination as a candidate in the 2010 elections at Segerea followed all proper procedures of his party contrary to claims by the applicant.


Meanwhile, the Ilala Municipal Director, Mr Gabriel Fuibe, appeared as a witness in the case and said that ballots were strictly secured by police officers, so it is not true that someone was caught with boxes.


By JOYCE KABIGI,
Tanzania Daily News


 
This case of Makongoro Mahanga did started before Lema case in Arusha town, the case in Arusha just finished and the case for Makongoro due date is May, 2012

So, you fairly see the vindication of our beloved nation there is no separation of power which is a Major Political Doctrine
Judiciary, Parliament and the President ... we really don't need to have the president have the power over both it is dictatorship.
 
haya wadau jimbo la segerea.....mambo yamekuwa ni moto hukumu ya kupinga matokeo ya ubunge wa jimbo la segerea
sasa imeiva na hukumu kutajwa may 2 mbili mwaka huu.....je mnadhani yaliyotokea arusha mjini sasa yanaweza tokea jiji la dar es salaam......je jamaa anaweza vuliwa ubunge wake....au atashinda

source...mwanachi,rai,mtanzania,na baadhi ya wanachama wa ccm......

Sitashangaa kusikia Mahanga kashinda....CCM wamedhamiria kutumia dola, mahakama, pesa kuhakikisha ile inayoitwa demokrasia haina mzazi hapa Tanzania....lakini yote haya yana mwisho wake hawataishinda nguvu ya UMA
 
hivi......ikitokea mahanga ......ameshinda kesi......hii wadau.......sipati picha maana itakuwaje
 
Imetajwa kuwa kesi ya mahanga na fred mpendazoe hukumu itasikiliza baada ya mwezi mmoja kupita hadi tarehe 2 may ya GLema imesomwa dakika chahce na kusikilizwa haraka sana je tusema kwa sababu ccm wamebanwa ,hata ya sumbawanga vivyo hivyo aliko huyo jaji fisadi
 
Mahanga anavuliwa ubunge tar. 2 may 2012.
hii nikutokana na mwenendo wa kesi ulivyokuwa. ushahidi ulikuwa wa wazi kabisa mahanga alishinda kwa udanganyifu
 
Mahanga anavuliwa ubunge tar. 2 may 2012.
hii nikutokana na mwenendo wa kesi ulivyokuwa.ushahidi ulikuwa wa wazi kabisa mahanga alishinda kwa udanganyifu
Kwa hiyo Rais anajiandaa kujaza nafasi ya naibu waziri?
 
Ili apate mda wa kukusanya kila kilicho chake na kuiba iba kwa mara ya mwisho!!ila jogoo awike hasiwike kutakucha tu!
 
hapa Segerea pananihusu kushinda hata nilikozaliwa,naombeni ushirikiano wakuu wa kaskazini chimbuko la M4C
 
Wanabodi nimekuwa nikifuatilia kwa makini kesi za uchaguzi katika majimbo ya Segerea na ile ya sumbawanga kwa jinsi mtiririko wa kesi ulivyo magamba hawana chao labda ofisi ya mkuu iingilie uhuru wa mahakama kama ilivyofanya Arusha mjini. kwahiyo nawashauri CDM waanze kufanya maandalizi ya kuyahalalisha hayo majimbo kwani walishinda tokea mwanzoni lakini wakaporwa na ile tume ya magamba. Mimi nakaa karibu na yule mporaji wa jimbo la segerea anajificha kama nyoka kilasiku kisukari juu hatma yake iko mikononi mwa prof
 
haki ikitumika tutashinda ila serikali ikiingilia kati kama kwaida watashinda magamba.

Ila mungu yupo nasi siku zote hata kama haki haitatendeka.
 
Wanabodi nimekuwa nikifuatilia kwa makini kesi za uchaguzi katika majimbo ya Segerea na ile ya sumbawanga kwa jinsi mtiririko wa kesi ulivyo magamba hawana chao labda ofisi ya mkuu iingilie uhuru wa mahakama kama ilivyofanya Arusha mjini. kwahiyo nawashauri CDM waanze kufanya maandalizi ya kuyahalalisha hayo majimbo kwani walishinda tokea mwanzoni lakini wakaporwa na ile tume ya magamba. Mimi nakaa karibu na yule mporaji wa jimbo la segerea anajificha kama nyoka kilasiku kisukari juu hatma yake iko mikononi mwa prof

Ni lini ulituwekea hapa jamvini mtiririko wa hizo kesi mpaka ujikinai kwa kusema "nimekuwa nikifuatilia kwa makini kesi"
 
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu, haki siku zote haitafichika
 
Magamba wanatumia nguvu ya dola kushinda, serikali yao, mahakama yao, polisi wao, jela zao, tume ya uchaguzi yao na sheria ni za kwao hivyo WATALAZIMISHA KUSHINDA KESI!
 
Kwa zile hotuba za za hukumu zinazoandaliwa magogoni, wala sitashangaa yakija matokeo tofauti na mtiririko wa kesi!!!!
 
Presha ya nini, ngoja tusubiri hukumu!! Kifupi wabunge wengi walioko bungeni hawafai kuwepo mjengoni!!
 
Magamba wanatumia nguvu ya dola kushinda, serikali yao, mahakama yao, polisi wao, jela zao, tume ya uchaguzi yao na sheria ni za kwao hivyo WATALAZIMISHA KUSHINDA KESI!
Huo ndio ukweli Tz. Wananchi wanaamua kwa haki lakini wanadhulumiwa haki yao na ccm.
 
Back
Top Bottom