Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Ukiangalia mazuri tu ya mke huwezi mwacha ,maana kila ukikumbuka mazuri yake unaweza sema hakuna mwanamke kama yeye na sitokaa nipate mke kama huyu...
Acha mfumo dume wewe.Haitakusaidia.Usipende kudharau sana kinamama
 
Asante sana mkuu.Umesema yote
 
Ndo tumegota hapo na hivyo ndivyo tunavyowaza sie wana 'ufipa' ....aah we Mbowe endelea tu.
Unaweza pia kuchukua fomu ukapimans ubavu ksma kweli wewe ni mwanachama.Hiki chama ni cha kidemokrasia kugombea hukatazwi
 
Niliwahi kukuahidi miaka mitano iliyopita kuwa sitajibizana na wewe kwa neno lolote maana kwa bahati mbaya tunafahamiana vyema na tunaheshimiana mno.Nikikujibu ninaweza kukuvunjia heshima bure.Naomba iendelee kuwa hivyo
 
Mtungirehi hakuwa mbunge wa Chadema, alikuwa wa TLP ya Mrema.
 
Rais Magufuli amechukua nchi kutoka kwa Kikwete shirika la ndege ilikiwa limekufa.

Leo hii mandege yananunuliwa tu na shirika linaendelea kufufuliwa,tumenunua rada na miradi kibao inaendelea, hivyo basi rais Magufuli aendelee kutawala tu hata zaidi ya miaka 30.

Mkuu mleta mada, si tunaenda sawa? Si ndicho unachomaanisha?
 
Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekti wa Chadema kwa kuwa ana mpango wa kuungana na Wahaini wa Visiwan pamoja na Mbembe mmoja toka Ujiji Kigoma ili kumvunja moto Rais wetu kukomboa Nchi
Wewe kila ukisikia chadema naona kisharalwala kinapanda
 
Usisahau na idadi ya wabunge na madiwani waliohama wakati wa uongozi wake na wale " waliodhurika"
Huna hoja.Tulia Tu
CDM haitachaguliwa kiongozi wake na vibaraka wa CCM.Hilo sahau
 
Wizi na umangimeza uliokuwa umeota mizizi CCM ndo uliipa boost CHADEMA na si mbowe .awamu ya tano itawarudisha huko yangu macho
Kwenye tafiti kuna kitu kinaitwa comparative reading yaani unalinganisha vitu viwili au vitatu na kuona kipi na kwa sababu zipi kimewapita wenzie.
Sasa wakati wa failure za CCM ipo CUF ambao ndio walijenga KUB ilikuwepo TLP na NCCR zenye nguvu sana sasa kivipi weakness ya CCM isababishe CHADEMA pekee ikue na sio hivyo vyama vingine vitatu?
Kwahiyo hapo lazima ukubali kwamba CHADEMA imefika hapa ilipo sio sababu ya failure za CCM pekee bali strategy za kuweza kujijenga kama chama mbadala kwa CCM kuliko vyama vingine vya upinzani.
 
Mkuu Pascal Mayalla huwa unaheshimika sana hapa jukwaani na muda mwingine huwa unaongea kwa mafumbo lakini hapa Sidhani kama unaongea kwa parables maana upo clear kuwa CHADEMA imefuta kipengele cha uongozi.

Hili swali aliwahi uliza Nape humu jukwaani na akajibiwa na Dr slaa pamoja na JJ Mnyika kwa hoja na nyaraka kwamba kipengele cha ukomo hakikufutwa ila katika kusaka maoni ya kutunga katiba mpya chini ya Prof Baregu suala hilo halikuwekwa na wanachama.

HIVYO BASI unapojenga hoja kuhusu suala hili usiseme kilinyofolewa bali sema katiba mpya haijazungumzia. Maana mtu anaweza dhani ilifanyiwa amendment ikafuta hiko kipengele.

Pascal upo credible so una uwezo wa kutengeneza au kuharibu so kabla hujachangia lolote keep your facts straight!!

Ni hayo tu mkuu wangu
 

Mkuu unaweza kuwa na Hoja nzuri pia ila iko kikatiba zaidi na ndiyo maana kuna mkulima ameenda mahakamani kupinga Ukomo wa Urais.Nadhani tusubiri maamuzi ya mahakama then hoja yako itakuwa Valid
 
Asante sana mkuu.Uko makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…