Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Je kwa maoni yako Mbowe amefikia ukomo na hapaswi kuendelea?
 
Je kwa maoni yako Mbowe amefikia ukomo na hapaswi kuendelea?
Sijasema amefikia ukomo, amefikia saturation, hivyo he can take no more than what he can. Amefanya mengi, mazuri na makubwa na kufikia optimum, he can not do more than he can.

Kwa vile katiba ya Chadema haina ukomo, Mbowe anaweza tuu kuendelea indefinitely but don't expect anything new. Chadema kuendelea kuwa chama cha kudumu cha upinzani, huku CCM ikiendelea kutawala milele.
P
 
Unasemaje kama tutamchagua tena? Utaendelea kuumia kizazi au utaufyata?
 
Utaupima ujinga wako baada ya tarehe 24.11.2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na baadae ujione zuzu kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Akili fupi haiwezi kuona kesho
Hata iweje mbowe 5 tena
 
Mafanikio ya chadema na kupaa credit zinatakiwa ziende kwa watu wawili wa Kwanza Ni Dr Slaa wa Pili Lowasa.Wabunge na madiwani wengi waliongezeka wakati wa Dr Slaa na wakaongezeka Sana Lowasa alipohamia Chadema.Mbowe asiparamie sifa zisizo zake
Mbona unaumia kizazi?
 
Yanayochukiza kwa rais yeye ndiyo kiongozi WA nchi lakni anaongoza kwa visasi vya kijinga.
Mbowe aliruhusu fisadi Lowassa kugombea urais kupitia CHADEMA.. hilo sio la kuchukiza?
binadamu bana.
 
U dictator huanzia level ya familia, dictator nyumbani ndie dictator akiwa kiongozi. Huwezi mlinda Mbowe kwa kisingizio kuwa yeye anaongoza Chama maana ni chama ndio kinachoangaliwa kuja kushika dola. Chama kikiwa na viongozi wenye chembechembe za udikteta sio rahisi kuwabadili wakipewa nchi. Kwa kuheshimu matakwa ya demokrasia ni busara Mbowe akaachia ngazi tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…