Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Ahsante sana Mkuu.Hongera mkuu always dream comes true kama tu utaweka juhudi, maaifa na maombi.
Ndio ni kuzuri ajabu ni haki kina Mkuu Nyani Ngabu watambe aisee.MB 500 kwa Tsh 5,000/=
Man, badirisha mtandao.
Tuwekee vipicha mzee vya huko mitaa nasikia Uko ndio Duniani sasa
Mkuu Invigilator I couldn't be happier for you. Hongera sana na karibu kwenye nchi ya maziwa na asali. Land of the free and home of the brave. Sasa umevua gamba na umekua brave 🤣
Michongo ipo mingi na kubaki inawezekana kabisa hata sisi tulikuja kama wewe ila hadi leo tunadunda hapa bongo tunaenda tukimiss kupigwa vumbi tu.
Aluta Continua.
Hapo two shots of JJ Au Modena lazima zikuhusu. Kivyovyote vile ule chanjo au usile mwisho wa siku wote fwaelekea njia moja
Hivi kwa Marekani ukitaka kubaki baada ya shule kuna process gani za Immigrarion
Sawa mkuu.Umekomaa asee
Mimi imenichukua miaka 5 toka nia hadi kutua Canada
Cha msingi Mungu atukumbuke
Kazi zipo za kutosha, nina wiki 3 sasa, nimepata kazi 4 zote full time job. Mpaka nashangaa
Cha msingi Usije jaribu kukiuka vigezo na masharti mzee hasa ya 20hrs per week kwa mwanafunzi kufanya kazi
Ahsante sana Kiongozi.Pambana mkuu mpaka kieleweke,siku hizi sioni thd hapa JF za kutuponda wabeba box.
Ahsante sana Mzee umenisaidia pakubwa mno,una moyo wa dhahabu sana.Mkuu Invigilator I couldn't be happier for you. Hongera sana na karibu kwenye nchi ya maziwa na asali. Land of the free and home of the brave. Sasa umevua gamba na umekua brave [emoji1787]
Michongo ipo mingi na kubaki inawezekana kabisa hata sisi tulikuja kama wewe ila hadi leo tunadunda hapa bongo tunaenda tukimiss kupigwa vumbi tu.
Aluta Continua.
Ahsante mkuu, ngoja nipambane nione maisha yatanipa nini.Inapendeza mno..
Hongera Kwa kuingia land of opportunity USA.Awali ya yote nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kukamilisha ndoto zangu.
Pili napenda kuwashukuru wadau wakubwa humu jukwaani kwa support kubwa ya mawazo tangu nilipoweka nia ya kuondoka nchini kwetu, Mungu awabariki sana (wote mnaotambua uwepo wake na utendaji kazi wake).
Kwa kutaja baadhi, Bufa Kiranga Matola Smart911 na wengine wengi.
Hakika USA ni nchi ya ajabu sana, ni nzuri kwa namna ambayo siyo rahisi kusimulia kwa maneno, miundombinu mizuri sana kila kitu ni kizuri sana tofauti na kwetu, wameendelea sana (sidharau nasema uhalisia).
Nilianza safari yangu, kutoka Dar hadi Schiphol airport - Netherlands kwa KLM, kisha Amsterdam - JFK Airport New York kwa Delta.
Kutoka hapo, nikachua bus (42nd at Port Authority, gate 66, Greyhound, kuelekea Pittsburgh - Pennsylvania. Kutoka hapo nikabadilisha gari hadi Columbus Ohio.
Namshukuru Mungu nimefika salama, nimepokewa vizuri, nina furaha, kwa wajuzi na wenyeji huku naombeni mnipe mawazo ili iwe rahisi kwangu kupata michongo na kutimiza adhma ya moyo wangu.
Natamani kubaki huku baada ya kumaliza course yangu ya miaka 3, nitafurahi ikiwa mtanisaidia njia zaidi ndugu zangu.
Niwasisitize vijana wenzangu tupambane tu haijalishi kipindi gani tunapitia, ikiwa umeweka nia thabiti Mungu hawezi kukuacha, juhudi na maombi huleta fanaka.
Ahsante sana.View attachment 2358268View attachment 2358267
🤣🤣🤣🤣Mkuu Invigilator I couldn't be happier for you. Hongera sana na karibu kwenye nchi ya maziwa na asali. Land of the free and home of the brave. Sasa umevua gamba na umekua brave 🤣
Michongo ipo mingi na kubaki inawezekana kabisa hata sisi tulikuja kama wewe ila hadi leo tunadunda hapa bongo tunaenda tukimiss kupigwa vumbi tu.
Aluta Continua.