Hatimaye Zimoto kimeeleweka

Hatimaye Zimoto kimeeleweka

wadau,majina yashawekwa adharan,mwenye kutaka kuona atafute gazeti la uhuru la leo!Kila la kheri....
 
Kulingana na ufinyu wa budget Jeshi la Zimamoto na uokoaji wameamua kupunguza idadi iliyokuwa ikitakiwa, majina 160 Kati ya 190 ya Sergeant yameshatoka!
Na majina 437 Kati ya 570 nayo yametoka leo!!!
Sergeant wanatakiwa kuripoti Ukonga Magereza tar 15/6/2014 na Constable wanatakiwa kuripoti Kiwira tar 29/6/2014.....
Majina yametoka kwenye magazeti ya Mwananchi, Uhuru na mengineyo!!!!!
 
Nadhani hizi zimebaki maalum kwa ndugu zao waliowasahau
 
Tafadhari wadau,kwa mwenye gazet,naomba aniwekee majina ya frank kwa upande wa sajin, au aniwekee namba ya sim hapa nimtafte.natanguliza shukran za dhat.mbarikiwe!
 
asante mungu nmepata kazi baada ya msoto wa 2years japo wengi watabeza kua ni hela ndogo sio mbaya ndio pa kuanzia
 
hujapata kazi umeitwa kwenye mafunzo!! utaajiriwa baada ya kumaliza mafunzo!
 
Asante sana ndugu Faraja yangu, nimejiona.. Hivi kwa sajin mafunzo ni mda gani yaweza kua?.
 
Usijali kawaida tu,mafunzo sijajua muda gani ila unatakiwa uripoti chuo cha magereza ukonga dar tarehe 15/6/2014
 
Kulingana na ufinyu wa budget Jeshi la Zimamoto na uokoaji wameamua kupunguza idadi iliyokuwa ikitakiwa, majina 160 Kati ya 190 ya Sergeant yameshatoka!
Na majina 437 Kati ya 570 nayo yametoka leo!!!
Sergeant wanatakiwa kuripoti Ukonga Magereza tar 15/6/2014 na Constable wanatakiwa kuripoti Kiwira tar 29/6/2014.....
Majina yametoka kwenye magazeti ya Mwananchi, Uhuru na mengineyo!!!!!

Magazeti ya tarehe ngapi hayo?
 
Back
Top Bottom