Hatimaye Watoa Huduma wa Amka!

PlanckScale

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
550
169
Nimekuwa nikifuatilia sana habari toka awamu ya 5 iingie.
Nafurahi viongozi waki kosoa na kujaribu kurekebisha utekelezaji wa shughuli za serikali, especially kwenye mambo ya elimu na afya. Ila kila mara issue inakuwa kuwalaumu walimu na madaktari. Kwa kweli mpaka leo sijasikia serikali ikisema wana waongezaa mishahara walimu au madaktari kuanzia tarehe fulani. Hii itawavunja moyo hawa watumishi muhimu nchini.

Nikweli kuna uzembe katika utendaji wao wa kazi. Lakini tukiwalaumu constantly bila kuwapa motisha hatuta fanikiwa.

Sasa naona Wauguzi Wazuia Msafara Wa Naibu Waziri Geita...




The response ya Naibu Waziri was positive, but the problem should not be treated as local to Geita only....
 
Back
Top Bottom