hela ni za NSSF ndio walitoa hela lakini walidai gov guarantee ya 60% of the inflated value ya hapo. Ila cha kushangaza ni hao kina meya wasiojua kwamba hilo jengo lao ni white elephant maamuzi hayakuwa na akili wameleta siasa kwenye biashara akili zao za kibiashara ni pungufu sana ukilinganisha na wamachinga, hivi ni nani atakaekwenda gorofa ya tatu sijui nne huko kusikokua na lifti kununua nyanya na vitunguu? imekula kwao, halafu machinga anapata wapi 7.2m kwa mwaka za pango, na hao wanaosema wenzao wahamishwe mchikichini ni wasaliti wakubwa hivi hawajui wako pale kwa mujibu wa kanuni za jiji? hawajui kwamba wenzao wa vibindo walipigana kufa na kupona kubadilishiwa matumiza ya lile eneo ili wafanyie biashara wao ni joy riders, wataishia hapo hapo kwenye viota vya kuku, hakuna usalama wa bidhaa hakuna mahali pa kukaa wapangaji wanabadilishiwa aina ya biashara mambo ya kufanyia maamuzi maofisini imekula kwao hata wakiwanyang'anya hao hakuna atakayekaa hapo wageuzi ofisi za kupangisha kama wana parking za magari ama sivyo walie tu