Hatimaye wakazi wamgomea Mnyika

Hatimaye wakazi wamgomea Mnyika

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Mh Mnyika sisimizi aliye vaa viatu Vya tembo

Hivi Mh Mnyika yupo kweli?

Nimekumbuka mh Mnyika Leo kwa sababu yeye ndiye aliye sema Ana ushahidi wa kuwa Mh Lowassa ni fisadi na akasema Kama Mh Lowassa atataka aende mahakamani

Natagemea Siku moja Mh Mnyika autoe uo ushahidi

Lakini nimemkumbuka Mh Mnyika kwa sababu

Kuna watu hapa niliwambia hapa hapa wakina Charles Simon nikasema Mh Mnyika hana uwezo wa kufit kwenye viatu Vya Mh Zitto wakabisha Sana kwa sababu wengine kubisha ni kawaida yao

Ila ilikuwa ni principle tu kukubali au kutokukubaliana , by number Mnyika is out

Mh Mnyika Leo ana cheo sawa na alicho kuwa nacho Mh Zitto Chadema , (Naibu katibu mkuu ) wekeni kumbukumbu sawa

Leo nyote hapa ni mashahidi ameweza? Kashindwa tena kwa mbali sana

Leo katibu mkuu wa Chadema yuko nje ya office , tulitegemea naibu katibu mkuu achukue nafasi

Katibu mkuu ndie mtendaji mkuu wa chama sio?

Nilishutushwa hata viongozi wa chama cha demokrasia Na maendeleo chadema walio simamishwa bunda barua ilisaniwa na katibu mkuu vijana , nilianza kujiuliza maswali Mengi kulikoni hasa? Au naye ana likizo?

Leo msemaji wa chama Chadema ni Mh Mbatia kulikoni?

Mmeyakoroga wenyewe Mh Mnyika anashindwa kuyanywa?

Mkimuona MPE salamu zangu mjomba , najua moyoni hawakubaliani na uamzi huu wa Mh Mbowe

Mkija kuzunguka nchi nzima kumsafisha ccm iko ikulu tiyari, na huko ni kushindwa asubuhi

Mwambieni Mh Mnyika avae viatu vyake vijana tuna maswali nae na zaidi tunautaka ushahidi alio sema anao ,, bado tuna kumbukumbu nzuri

Hapa kazi tu
 
Nakwambia pale kumeingia kirusi nitaabu, cdm ileee si ya sasa, hapo wanalindwa na fuata mkumbo laiti hawa fuata mkumbo wangelikuwa wanajitambua na kuhoji jambo lolote kingenuka kule, na sote tuombe mungu atupe uhai mrefu baada ya uchaguzi kirusi alivyo wakoroga pata fuka moshi
 
Dah hizi nyuzi zinachosha mazee, embu mtuambie sera za mgufuli kwenye
Afya, elimu, miundombinu na uchukuzi, rushwa, katiba mpya nk haya mengine yanachosha na inaonekana ka mmepanic hivi, mchecheto umezidi sana
 
Mnajua Lema na Msigwa wana historia ya kuhama na kuvuruga chama. Hawa si wageni katika siasa za upinzani. Walitoka NCCR wakavuruga wakaenda TLP wakalivurunda na sasa wako Chadema. Ni watu wanaojali zaidi maslahi yao. Na siyo wao tu. Wako wengi sasa ndani ya Chadema. Mnyika hayuko hivyo lakini hajui afanyeje na kakosa ujasiri wa Dr Slaa. Au atuambie tatizo ni nini?
 
Dah hizi nyuzi zinachosha mazee, embu mtuambie sera za mgufuli kwenye
Afya, elimu, miundombinu na uchukuzi, rushwa, katiba mpya nk haya mengine yanachosha na inaonekana ka mmepanic hivi, mchecheto umezidi sana

Ni kweli kabisa kaka,ukiona uzi umekaa masaa haujajibiwa jiulize,naona Mnyika kiboko yao.
 
UKiona mtu anashughulika sana na mambo ya watu jua kabisa yake yamemshinda. Mana angekuwa anayamudu asingekuwa na muda wa kushuhulika na yasoyo mhisu.Nchi ni yetu wote.Siku zinakuja na saa ipo sauti ya mnyonge itasambaratisha sauti ya wezi dhalimu na vibaraka wa mabepari
 
Hizi story zilishapitwa na wakati kitambo sana
 
mzksaditz

Umeandika pumba tupu,Mnyika ameshashinda na bado kuapishwa tu,wewe jitahidi kumnadi makomeo
 
Last edited by a moderator:
Wanainchi muda wote wanatabika pasipo msaada.
 
Dah hizi nyuzi zinachosha mazee, embu mtuambie sera za mgufuli kwenye
Afya, elimu, miundombinu na uchukuzi, rushwa, katiba mpya nk haya mengine yanachosha na inaonekana ka mmepanic hivi, mchecheto umezidi sana

Sera za CCM, Magufuli ni mtekelezaji tu, kumbuka hilo.

Kuna kitabu kizima, hujakipata? Si tu sera na namna ya kutekelezwa kwake, wapi tulipotoka nini kilichofanyika nini bado na Magufuli kapewa jukumu lipi. Jipatie nakala yako.
 
Sera za CCM, Magufuli ni mtekelezaji tu, kumbuka hilo.

Kuna kitabu kizima, hujakipata? Si tu sera na namna ya kutekelezwa kwake, wapi tulipotoka nini kilichofanyika nini bado na Magufuli kapewa jukumu lipi. Jipatie nakala yako.
Hayo mambo ya ilani naona ni kama yale mambo ya kukariri na kwenda kwenye mtihani, matatizo ya tanzania yanajulikana, sioni haja ya kuwatuma watu waliochoka ka wakina wasira kuandika kwenye kitabu, na hata solution zake zipo, natamani nione magufuli, pro-ccm na hata ukawa wakitoa solution( japo ukawa atlest kidogo wanajitahidi) najua haiwezi tokea kwa ccm na pro-ccm, pengine unaona kibwagizo hapa kazi tu ila hakuna mtu anaainisha kazi ipi kwenye sekata ipi na itafanyika vipi..?
Any way ndo siasa zetu na ndo maana nchi maskini sana..
 
Mtu ambaye hawezi kujua matatizo ya wanaichi wake hatufai,twende na Dr Mkangara jimbo la kibamba
 
Back
Top Bottom