Hatimaye TPA yaruhusu kwa muda mfupi containers kuendelea kupelekwa ICD's

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,990
Reaction score
3,551
Mnamo Tarehe 10/10 Sumatra walitoa waraka wa kuzuia kontena zote zinazoingia nchini kubaki bandarini hali iliyopekelea sintofahamu kwa wadau wengi wa bandari hasa wamiliki wa meli kupitia kwa mawakala wao hapa nchini na wamiliki wa hizo Icd's hatimae jana 13/10 bandari imeruhusu makasha kuendelea kwenda bandari kavu.

Serikali sasa iachane na kufanya kazi kisiasa iache wataalamu wafanye maamuzi ya kitaalamu.
 
Attachments

Watu wanajichanga mpaka viposho vya watu vya ule moto, HALI NI NGUMU nchi nzima.
 
Haya... waje hapa mbele wale ambao default thinking ability yao inatokana na maagizo ya serikali na taasisi zake ambao ni jana tu hapa walikuwa wanatukejeli! Je, ina maana serikali imeshafuta wizi huko ICDs?
 
JoJiPoJi,

Ahsante kwa taarifa hii maana yake wanafiki kejeli za wana mihemuko zimeshindwa kudumu hata kwa saa 24!!!! Ningependa niwaone hapa waje kupinga agizo hili la TPA ikiwa kweli ushadadiaji wao wa jana ulitokana na kufahamu wanachokishangilia au ndo kale katabia ka kushangilia kila kinachotoka serikalini hata bila ya kukitafakari!!!
 
tatizo hii nchi inakurupuka sana nilisikia siku ile ya uzindizi wa jengo tpa anasema hatutatumia icd binafsi zinasaidia watu kukwepa kodi tutajenga za serikali ruvu mkoa wa pwani
 
Nchi ni Gari bovu na dereva akalewa madaraka
 
Haya... waje hapa mbele wale ambao default thinking ability yao inatokana na maagizo ya serikali na taasisi zake ambao ni jana tu hapa walikuwa wanatukejeli! Je, ina maana serikali imeshafuta wizi huko ICDs?
Wale misukule wa kupiga pambio huwezi waona,maana vichwa vyao havina ubongo kila kitu ni ndioooo
 
Naona kama mnabishana lakini hiyo "barua rasmi ya TPA" inaonesha wameruhusu "kontena moja tu" (ambalo inaonesha kila mtu atakua keshalijua) lizungushwe katika ICD kadhaa. Tena wenyewe TPA wanasema "wamekabiliwa na kuonwa". Sasa sijui aliyewaona ni huyo changamoto mbali mbali?! Aaahkh. Hizi lugha hizi, we acha tu.🙁😀
 
Lugha zilizokuja na meli hizi majanga...
 
Muwe wapole jamani....maigizo bado yanaendelea

Sent from mTalk
 
JoJiPoJi,

Ahsante kwa taarifa hii maana yake wanafiki kejeli za wana mihemuko zimeshindwa kudumu hata kwa saa 24!!!! Ningependa niwaone hapa waje kupinga agizo hili la TPA ikiwa kweli ushadadiaji wao wa jana ulitokana na kufahamu wanachokishangilia au ndo kale katabia ka kushangilia kila kinachotoka serikalini hata bila ya kukitafakari!!!
rP{ Ta nzania Ports Authority
1sgift* Office of the Poft Manager
Port Main Quay No. 1 Kurasini Telephone : +255 22 2LL3642
P.O. Box 1130 Fax : +255 222L73646
DAR ES SALAAM E-mail: pmdsm@tanzaniapofts.com
Please Quote Ref. DC/ 2l3lf/2 Date: 13th October, 2016
THE CEO
Tanzania International Container Terminal Services Ltd
P.O.BOX 7t442
DAR-ES-SALAAM
RE: TEMPORARY PERMISSION TO TRANSFER THE TMPORTED
CONTAINERS TO DRY PORTS
Reference is made in respect of the above subject.
Please be informed that the management of Tanzania Ports Authority (TPA) and
other stakeholders have been encountered and observed various challenges
during the implementation of new Surface and Marine Transport Regulation ,20L6
which was published on Government Notice No.19B on 17th June, 20L6.
In due course tempoiary permission is hereby granted to transfer the container to
various Dry Ports in a normal applicable procedure until the introduction of the new
Standard Operation Procddures (SOP) to regulate the containers transfer.
This information is not overriding other directives from the Regulator (SUMATRA).
Please be so informed.
Sincerely,
For: TANZANIA PORTS AUTHORITY
\ ,-+- w-"
f.:. f-iunOi
FOR: PORT MANAGER
Website: www.
 
Mnamo Tarehe 10/10 Sumatra walitoa waraka wa kuzuia kontena zote zinazoingia nchini kubaki bandarini hali iliyopekelea sintofahamu kwa wadau wengi wa bandari hasa wamiliki wa meli kupitia kwa mawakala wao hapa nchini na wamiliki wa hizo Icd's hatimae jana 13/10 bandari imeruhusu makasha kuendelea kwenda bandari kavu.

Serikali sasa iachane na kufanya kazi kisiasa iache wataalamu wafanye maamuzi ya kitaalamu.
Katika hili watu wa Lumumba kama akina Simiyu Yetu, Ruttashobolwa, Lizaboni, Stroke, MOTOCHINI n.k lazima yaje hapa yanapiga vigelegele utafikri haya yaliyotokea yalikuwa sahihi! Nchi ya mihemko hii sijui kwanini aiseee, yaani hata wataalam wetu wamekosa weredi kabisa. Yakishaonekana kuharibika ndo fahamu zinayarudia!!
 
Kwa style hii ya kutotabirika, kama mtapata investors basi watakuwa wa kujenga viwanda vya chaki tu. Mfanyabiashara gani atakubali kufanya shughuli zake ili hali anajua sera na sheria zinabadilishwa kwa matangazo na barua?
 
Na chaki za simiyu zinapigiwa chapuo kweli kweli
 
Mnamo Tarehe 10/10 Sumatra walitoa waraka wa kuzuia kontena zote zinazoingia nchini kubaki bandarini hali iliyopekelea sintofahamu kwa wadau wengi wa bandari hasa wamiliki wa meli kupitia kwa mawakala wao hapa nchini na wamiliki wa hizo Icd's hatimae jana 13/10 bandari imeruhusu makasha kuendelea kwenda bandari kavu.

Serikali sasa iachane na kufanya kazi kisiasa iache wataalamu wafanye maamuzi ya kitaalamu.
Mbona makontena yenyewe hakuna ?
 
Ile Sukari iliyozuiliwa mali ya Bakhresa iachiwe mara Moja za watu wengine endeleeni kuzizuia...!😱
 
Back
Top Bottom