Hongera Mkuu huu ndio ukweli mchungu baadhi ya watu wanajalibu kuupindishaWatu waliambiwa Mkataba halisi wa DP World na TPA ndio uta specify muda wakawa wajuaji sana
Mkataba wa Nchi na Nchi ni kama MoU tu hauna haja ya kuwa na muda, muda unawekwa kwny Mkataba halisi watu kwa chuki zao wakapotosha
Mkataba halisi jana ndio umesainiwa na muda umewekwa na mijitu imeumbuka
Uongo hupanda kwa haraka sana na kushuka kwa kasi hiyo hiyo
Soma waraka wa maaskofu mstari kwa mstari. Wao wanampinga uwekezaji moja kwa moja na kutaka ufutwe. Hakuna mstari hata mmoja unaosema urekebishwe vifungu vilivyokosewaMarekebisho yamefanyika kwa % kubwa, hakuna ambaye anapinga uwekezaji watu walikuwa wanapinga aina ya mkaaba maboresho yamefanyika
Wewe hujaona marekebisho? Rais mwenyewe kasema mawazo ya watu wote yamezingatiwa na marekebisho yamefanyika, ulitaka nini tena?Soma waraka wa maaskofu mstari kwa mstari. Wao wanampinga uwekezaji moja kwa moja na kutaka ufutwe. Hakuna mstari hata mmoja unaosema urekebishwe vifungu vilivyokosewa
Kama Rais akisema watu wote wanamuamini mbona Rais alisema toka mwanzo kuwa ya mwanzo ni makubaliano na Mkataba wataingia DPW na TPA lakini watu awakumuamini walishupaza shingo mpaka kutaka kuandamana nini leo kilichofanya wayaamini maneno yake ghafla ilhali sote Mkataba atujauona?Wewe hujaona marekebisho? Rais mwenyewe kasema mawazo ya watu wote yamezingatiwa na marekebisho yamefanyika, ulitaka nini tena?
Mwanzo ulikuwa unajua ukomo wa mkataba?Kama Rais akisema watu wote wanamuamini mbona Rais alisema toka mwanzo kuwa ya mwanzo ni makubaliano na Mkataba wataingia DPW na TPA lakini watu awakumuamini walishupaza shingo mpaka kutaka kuandamana nini leo kilichofanya wayaamini maneno yake ghafla ilhali sote Mkataba atujauona?
Wewe nae nimbwa unae bweka bila kujua undani wajambo lilivyoTEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Hawa wanataka kuona watu wote waliopinga mkataba ni watoto🤔Tena maboresho makubwa sn yamefanyika
Maboresho yapi hayo?... funguka.Tena maboresho makubwa sn yamefanyika
Tec ilitaka ufutwe kabisa haikutaka marekebisho Wala niniWewe hujaona marekebisho? Rais mwenyewe kasema mawazo ya watu wote yamezingatiwa na marekebisho yamefanyika, ulitaka nini tena?
wala siyo udini bali nichogundua ni maslahi yao yalingiliwa ila sasa hv wana uhakika wa maslahi yao kuwa salama na si kwamba eti walikuwa upande wa wananchi,wamepunguza sana heshima yao kwanguTEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Mkuu, unasoma ukurasa upi? Inaelekea umezichanganya.TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Upo sawa mkuu walileta ushabiki wa kijiweni wakati wangeweza kupeleka maoni kwa raisi bila kugawa wananchi, waliongozwa na chuki wakasahau wajibu wao kwa jamii na nchiWalitakiwa wapeleke maoni Yao na si waraka mana tayri wameleta taharuki na kuonesha kuwa nchi imeuzwa na hapa walitaka kufanya uhaini mkubwa sana mana watu wangeandamana na kuchinjana bila sababu yyoyote
tushatoka kwny kujadili vipengele vya MkatabaWe muongo..!!
Moto gani na wewe embu acha uzuzu kitu gani kilichobadilika ? Tec walikataa kubinafsisha bandari kwamba tuendeshe wenyewe ndio walichokisimamia, na wengi humu kwa akili finyu mkasema eti serikali haiwezi kufanya chochote mbele ya tec, haya kiko wapi?Wewe kweli hamnazo.Baada ya kubanwa mkarekebisha vifungu vya mkataba kulingana na matakwa ya watanganyika na kuja navyo waziwazi mbele ya watu wote.Kama hamkuogopa Si mngeendelea na usiri kwenye huo mkataba tuone kama moto usingeendelea kuwaka🤔
maaskofu wa tec ni binadamu tu na eanaudhaifu pia,wengi wao wamezaa watoto na wanawatunza kisirisiri,serikali ingetaka kuwaumbua ingefanya hivyoTEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Ni hatari sana kuandika upuuzi kama huu, Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu!Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
TEC haina ugomvi na serikali wao walishauriTec ilitaka ufutwe kabisa haikutaka marekebisho Wala nini
TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.