Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Walitakiwa wapeleke maoni Yao na si waraka mana tayri wameleta taharuki na kuonesha kuwa nchi imeuzwa na hapa walitaka kufanya uhaini mkubwa sana mana watu wangeandamana na kuchinjana bila sababu yyoyoteKwani, wewe unajua ni kwa kiwango gani maoni yao yamesababisha mabadiliko kwenye mkataba wa sasa?
Dunia gani?VATCAN NDIO MTAWALA WA DUNIA.
Maoni walishapeleka kabla hata ya waraka,Walitakiwa wapeleke maoni Yao na si waraka mana tayri wameleta taharuki na kuonesha kuwa nchi imeuzwa na hapa walitaka kufanya uhaini mkubwa sana mana watu wangeandamana na kuchinjana bila sababu yyoyote
Nimesoma ID yako, nikafananisha na ulichokiandika, nimeona itoshe kusema huna akili ya kupambanua mambo..!!! Hiyo jamii unayoizungumzia, umeifanyia utafiti au imani umeipoteza wewe ndo unakuja kusema sisi wote tumepoteza imani na TEC? Kwamba wewe peke yako ndo jamii?TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
We muongo..!!Watu waliambiwa Mkataba halisi wa DP World na TPA ndio uta specify muda wakawa wajuaji sana
Mkataba wa Nchi na Nchi ni kama MoU tu hauna haja ya kuwa na muda, muda unawekwa kwny Mkataba halisi watu kwa chuki zao wakapotosha
Mkataba halisi jana ndio umesainiwa na muda umewekwa na mijitu imeumbuka
Uongo hupanda kwa haraka sana na kushuka kwa kasi hiyo hiyo
Endeleeni kujifariji wagalatia msio na akiliUsilo lijua ni usiku WA Giza tena nene
Niliandika mara nyingi kwamba hii tabia ya kuwaendekeza mambo ya dini kwenye maslahi ya Nchi sio sawa.TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Hadi china?VATCAN NDIO MTAWALA WA DUNIA.
Muwe mnaheshimu imani na taasisi za watu! TEC ni zaidi ya uijuavyo, wana mapungufu yao kwa vile wanaoongoza taasisi hizo ni wanadamu ila they are comparatively smart!TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Hesima kitu cha bure! waliochukua hela za ESCROW sio wote, usinajisi taasisi nzima.Tangu lini wezi wa pesa za escrow wakaheshimiwa?
Tangu lini wezi wa pesa za escrow wakaheshimiwa?
SIYO WOOTE MBONA HATUKONA WENZAO WAKITOKA HADHARANI NA KUWAKEMEA??Hesima kitu cha bure! waliochukua hela za ESCROW sio wote, usinajisi taasisi nzima.