Tumeona mmebeba mafuso, coaster, malori na tax na vitu vyote ili tu kuujaza uwanja ..sasa TBC ndo hiyo tumewapa, kazi kwenu msije kusema ohoo CCM inatuonea ..ila mwangalieni mamvi wenu anaonekana kama mmempa kiti kilichopigiliwa na misumari vile make anaonekana kama kala rimao
Huko mtu humu anasema ccm imetupa TBC.Hana adabu tbc ni y watanzania wote.Ole wa wadhalimu wezi na wote ambao wanafanya kwa unafiki wakijali matumbo yao na kuwasahau wanyonge na maskini wa nchi hii.Ole ni wao.Siku zinakuja na saa ipo ambapo wanyonge wote watarukaruka kama ndama na kweni wezi na wanyanganyi mtalia na kusaga meno.