Jana tarehe 30 april Ndg Subhash Patel kupitia kwa wakili wake Julius Lugazya kawafungulia kesi wahariri na magazeti yao ya nipashe na guardian,wakurugenzi wa radio uhuru na ITV pamoja na mwenyekiti wao Mengi kwa kashfa za kumuita fisadi papa na kudai alipata mchuchuma kwa mizengwe.Anawataka waombe radhi ndani ya siku saba na wamlipe fidia ya shs bilioni kumi

Aiseeeee !!!!Huyu ndiye aliyekuwa mweka hazina wa kamati ya mtandao wakati wa kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea wa CCM yeye ndiye alikuwa anakusanya na kusambaza mabilioni yaliyotumika katika kuhonga wajumbe ili kununua kura za kumbeba jamaa ili aingie IKULU.
Kuna jamaa ataseme ni mshkaji wake kamnunulia private jet.....dunia haina usawa kabisaUshkaji gani wa kujengeana mahekalu?? sometime inachosha..
a favour for a favour..subash mchafu hio sio siri..haendi mahakamani huyo.
Nothing happen...JK alikua msela wa mjini...mambo makubwa alikua anayachukulia simple na maisha yaliendaMzee Mengi anazungumza kwa 'metaphor' amewataja mafisadi papa ambao ni dam dam na JK, kwa lugha nyingine Mengi amemtaja JK kama mlinzi wa mafisadi papa,
aminini msiamini, this time kibao kinamgeukia Mengi, lets wait and see.
Japo Mengi ni Mafia, mapapa ni mamafia na JK nyuma yao!.
Mengi alikuwa na hasira nao kutokana na tabia yao ya uporaji wa waziwazi wa raslimali za nchi!Mengi alikuwa anagombana na kila mtu aliemzidi pesa,,nakumbuka yeye na kina idd simba walianzisha movement ya wazawa vs magabacholi.
Nyerere aliwaita makaburu wakaufyata...
Shubash kafa leo, ndio maana uzi umefufuka.Hivi yupo hai kweli shubash?
Hebu tujuzeni alipo