Hatimaye Siasa za Mitaroni zafikia ukingoni

Hatimaye Siasa za Mitaroni zafikia ukingoni

Yote uliyoyaandika yako nje ya
mada wala sijayaandika wala
kumaanisha hayo ;;

Ni busara ukaanzisha mada
mpya halafu tutakuja kuchangia

Usitulishe maneno@William

Mimi Naamini kama jamaa
angekuwa klfisadi kihivyo
angefunguliwa kesi ili kumzuia wala asingegombea !!!
 
Lema, Lema, Lema!!!

Ni kweli kura milioni sita zimepatikana lakini kwa gharama ipi? CHAMA kilichokuwa mstari wa mbele kupambana na ufisadi leo hii kimeji-neutralize na hakina tena sera tambulishi bali kinaenda kwa kudandia matukio. Ati, CHADEMA ya leo hii inapigania nini na inapinga nini? Lowassa was na ataendelea kuwa liability tena kubwa sana. Kawapotezea jambo pekee lililokuwa linawapa political legitimacy mbele ya Watanzania - vita dhidi ya ufisadi. Leo hii kiongozi wa CHADEMA akisimama jukwaani na kuanza kukemea rushwa na ufisadi anaonekana kituko. Lisu alilitambua hili juzi juzi hapa aliporopoka eti anapinga uteuzi wa Prof. Muhongo kwa vile Prof.alihusishwa na Escrow. Watu walimzomea mtandaoni mpaka nikamhurumia.

Jifunze kuangalia mambo kwa upana na achana na ushabiki wa upofu ali mradi tu unaitwa Lema. Na 2020 hali itakuwa mbaya zaidi unless muanze sasa kuandaa mgombea na kupanga mikakati mipya ya kukifilosofisha chama na kukijengea imani upya. Msitegemee kuokota makapi tena yaliyochafuka kutoka CCM.
 
Nadhani kuna watu milioni 46 TZ. Kwa hiyo mmekosa kura milioni 40.

Mgepata kura nyingi zaidi kama mmngeendelea
Na siasa pamoja na sera zenu za kuukataa ufisadi.
 
Kwa hiyo Bwana Lema wewe hujali kama ni Fisadi au ni Mpambana na Mafisadi, wewe la mubimu Kanda yetu itawale tuendeleze ukabila wetu wa tangu zamani. Kwani CCM imekosa nini: imewasomesha, shule nyingi, hospitali nzuri, maji tele, barabara za lami, umeme hadi vijijini. Mimi sioni kwa nini uichukie CCM. Kwa Magufuli hawana lami hawana umeme hawana maji hawana hospitali. Wao kama wangechukia CCM ningeelewa kwa sababu kweli CCM haijafanya kitu miaka 54. Lakini Kanda yenu! Mawaziri Wakuu wanne! CCM haijafanya kitu miaka 54? Are you serious? Kweli shukurani ya punda ni mavi. Mswalie Mtume.
CCM ilituletea mvua baadae ikatuletea jua, ikaleta majembe ya kulimia ikaleta magari ikaleta lugha ya kiswahili kisha ikatengeneza binadamu.

Idiotism at highest level
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom