Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 566
Mimi Ni Mkristo Mlokole, sitetei dhambi lakini napenda Haki kwa wote Wanajukwaa Nimesikia Nape anadai/Kumaanisha MTU yeyote (chadema)anayepinga ufisadi wamfukuze Lowassa,
Namuuliza huko Ccm Mtuhumiwa wa fisadi Ni Lowassa pekee ?
Wale waliowahi kutajwa Na Dr.Slaa akiwemo Bosi wake kwa Nini hawajafukuzwa miaka yote ?
Ndo kusema Lowassa anapigwa vita sio kwa sababu ya ufisadi ?
"Tuwe wakweli Ukiona watu wanakusema bila Sababu ujue" Umewazidi !
Na Ukiona MTU ajifanya kukemea/Na kusemea sana mambo haya
matatu( ufisadi ;ukabila ;udini ) bila vitendo
Walio wengi ndiyo tabia yake !!!!
Nape Acheni Ubaguzi Watuhumiwa wote wapelekwe Mahakamani !!
Mimi Namshukuru sana Freeman Mbowe aliyetuondolea siasa za Za Ccm za Kumkimbiza anayedaiwa Mwizi "
Hatmaye siasa za Mitaroni !
zimefikia Ukingoni sasa wanatapatapa, eti afukuzwe !
Mbona walishindwa kumfukuza kama alikuwa fisadi;
Mpaka akaondoka wenyewe ???
Lowassa is a Leader not Manager !!

Last edited by a moderator: