Hatimaye Siasa za Mitaroni zafikia ukingoni

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Ndio !!
Mwaka huu Mchezo wa Mwizi kumkimbiza mwizi watanzania tumeumaliza !!!

Watuhumiwa wote wa ufisadi wapelekwe Mahakamani tuamini wanauchukia ufisadi

Hongera Lowassa kupata zaidi ya 40%,zilizotangazwa !!
Toka .23% za slaaa 2010 !!

Tuwaulize wanaosema tumepoteza nafasi ya kuiondoa Ccm kwa kumleta fisadi

Mbona 2005 $ 2010 tulimuweka Mpinga ufisadi lakini wakamchagua Ccm??

Na hao waliomkimbia Lowassa wamepata faida gani??

Wanaosema nchi ingeuzwa kwa mafisadi Na wezi ''
Ingeuzwa Mara ya ngapi?

Mapambano yanaendelea CCM ni ile ile!!!!

Roho zinawauma kwa kura
Million 6 zilizosema Lowassa siyo fisadi

Bali Mtuhumiwa kama huyo
wa kwao Na wengine wengi waliojaa humo ccm !!!
 
Last edited by a moderator:
Ndio !!
Mwaka huu Mchezo wa Mwizi kumkimbiza mwizi watanzania tumeumaliza !!!

Watuhumiwa wote wa ufisadi wapelekwe Mahakamani tuamini wanauchukia ufisadi

Hongera Lowassa kupata zaidi ya 40%,zilizotangazwa !!
Toka .23% za slaaa 2010 !!

Tuwaulize wanaosema tumepoteza nafasi ya kuiondoa Ccm kwa kumleta fisadi

Mbona 2005 $ 2010 tulimuweka Mpinga ufisadi lakini wakamchagua Ccm??

Na hao waliomkimbia Lowassa wamepata faida gani?

Hivi ni Nani aliyepunguza kura za Ukawa kama siyo yule aliyekimbia Mchezo ?
Na kurusha Livetv propaganda eti Chadema Tumeingiza choo Chumbani ???

Hatujasahau bado !!!!!

Wanaosema nchi ingeuzwa kwa mafisadi Na wezi ''
Ingeuzwa Mara ya ngapi?
Mapambano yanaendelea Ccm ni ile ile!!!!

Roho zinawauma kwa kura
Million 6 zilizosema Lowassa siyo fisadi

Bali Mtuhumiwa kama huyo
wa kwao Na wengine wengi waliojaa humo ccm !!!
 
Hizi sinema mtaacha lini, mbona mara mnakubali kushindwa na wakati mwingine kama vipi mechi irudiwe muone JPM atabeba ndoo tu.
 
Nijuavyo Mimi watanzania watathibitisha ubovu was ccm kwa awamu hii 2020 hakuna atakayewapa kura
 
Wahenga walisema "Usimwamshe aliyelala."

Waacheni tu, msiwaamshe wadanganyika;

Ipo siku wataamka wenyewe!
 
Fisadi wetu km wanavyomeita alishinda uchaguzi huuu, rekebisha post yako, CCM wamedhulumu haki ya mamilion ya watanzania
 
Kwa hiyo Bwana Lema wewe hujali kama ni Fisadi au ni Mpambana na Mafisadi, wewe la mubimu Kanda yetu itawale tuendeleze ukabila wetu wa tangu zamani. Kwani CCM imekosa nini: imewasomesha, shule nyingi, hospitali nzuri, maji tele, barabara za lami, umeme hadi vijijini. Mimi sioni kwa nini uichukie CCM. Kwa Magufuli hawana lami hawana umeme hawana maji hawana hospitali. Wao kama wangechukia CCM ningeelewa kwa sababu kweli CCM haijafanya kitu miaka 54. Lakini Kanda yenu! Mawaziri Wakuu wanne! CCM haijafanya kitu miaka 54? Are you serious? Kweli shukurani ya punda ni mavi. Mswalie Mtume.
 
Yote uliyoyaandika yako nje ya
mada wala sijayaandika wala
kumaanisha hayo ;;

Ni busara ukaanzisha mada
mpya halafu tutakuja kuchangia

Usitulishe maneno@William
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom