Eneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.
Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.
So KJ alizindua jengo ambalo lipo ndani ya hifadhi ya barabara
Mmiliki atakuwa Ukawa ndio maana.Mbona za makada wao zipo katikati ya hifadhi?
Double standard.
hahaha nani asiyekujua humu wewe ni mzee wa fiksi na saundiiHivi lini nimewahi kusema uongo?
hebu tuwekee picha basi wewe jinga laoEneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.
Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.
Aisee wazee wa system a. k. a TISS hawakufanya kazi yao kwa weledi nini??Sema hii hotel mda wote naona kwao ni low season tu,hakunaga wageni na wala hapaja changamka....kavunjiwa lile eneo ambalo aliweka garden(kikwete alizindua kesho yake fensi ikavunjwa)
Pumba kabisa wewe, yaani unatuwekea habari ya kusikia kwa jirani? Inakuwaje uombe wengine wakuwekee picha wakati wewe ndo umeleta hii habari hapa jamvini? Ndo maana wewe ni "jingalao"Kwa mwenye picha zaidi atuwekee
Wewe ulizaliwa na Apgar score ya 5 yaani ni mzigo kwafamilia yako na jamii kwa ujumla....siku nyingine kabla ya kupayuka isome thread yote vizuri na kwa umakini.Pumba kabisa wewe, yaani unatuwekea habari ya kusikia kwa jirani? Inakuwaje uombe wengine wakuwekee picha wakati wewe ndo umeleta hii habari hapa jamvini? Ndo maana wewe ni "jingalao"
Nafikiri ipo arusha sanawari karibu kabisa na kona ya kushuka kuelekea jengo la mikutano la aicc au mount meru hospital
Deusdedith Kakoko ndie alikua meneja Tanroads Arusha. Nadhani hadi leo. Aliwazuia kujenga ukuta eneo la barabara wao wakajenga. JK alipoizindua tu, kesho yake alfajiri saa 10 Deo akavamia hapo na magreda yake. Baada ya hapo aliwaruhusu fensi fupi ya maua tu. Deo wala hakuhamishwa!!
Snow Crest haina miaka 10 mkuu. Nadhani ni ya 2008 hivi. Kinachobomolewa kwa sasa ni hiyo fensi ya maua na sehemu inayoingia barabarani. Niko mbali ningewaletea picha.
Kwanza nadhani inakaribia kufungwa (kama haijafungwa) maana madeni mengi, biashara haipati na sasa wanaenda kuivuruga show yake ya mbele. Mbaya sana kutegemea wanasiasa katika biashara.