Yap kaka utahitaji pc, sijajibiwa ndio maana sjakujibu Secret Service amesema yeye amefanikiwa ku update muone yeye akuambie alivyofanya
Mkuu Tangopori kwangu bado sipati lollipop najaribu ku-update napewa majibu yaleyale kama inavyoonekana kwenye picha
View attachment 253158
View attachment 253159
Duh!
Sasa hii siielewi labda nimuite CHIEF MKWAWA
Sawa mkuu Chief-Mkwawa nitajaribu kwenye kiesyako pia ni s4 I9500 kama ya jamaa? huwa samsung nchi zetu za ulimwengu watatu wanachelewa sana kuleta updates. labda ajaribu kucheki na kies kwenye pc
Kikubwa sana kilichonifurahisha simu iko so speed applications zinafunguka faster sana na pia mwonekano wake ni mzuri!
Nimeipenda kwa kweli hii update!
Ukubwa ni kama MB 1138 hivi approximately 1GB
Mkuu juzi s4 yangu iliniletea notification ya kui update kwenda lollipop nikapostpond for 6 hours ili nimalizie kazi na pia nikaongeze bundle ila baada ya masaa 6 sijaona notification na nkienda kwenye updates wananiambia tayari zisha update ila ni 4.4.2
Nifamyaje hapo
Mh!
Mimi mwenyewe nachojua ni hichohicho kwamba unaenda kwenye updates then unasearch for it!