Hatimaye S4 yangu yapata lollipop

Hatimaye S4 yangu yapata lollipop

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
Kikubwa sana kilichonifurahisha simu iko so speed applications zinafunguka faster sana na pia mwonekano wake ni mzuri!
Nimeipenda kwa kweli hii update!
Ukubwa ni kama MB 1138 hivi approximately 1GB
 
Attachments

  • 1431766741571.jpg
    1431766741571.jpg
    34.9 KB · Views: 785
  • 1431766761380.jpg
    1431766761380.jpg
    52.5 KB · Views: 714
  • 1431766780212.jpg
    1431766780212.jpg
    50.9 KB · Views: 699
  • 1431766798921.jpg
    1431766798921.jpg
    35.1 KB · Views: 678
  • 1431766820898.jpg
    1431766820898.jpg
    63.8 KB · Views: 691
  • 1431766836892.jpg
    1431766836892.jpg
    37.8 KB · Views: 686
Inapendeza!
 
Attachments

  • 1431767510904.jpg
    1431767510904.jpg
    34.6 KB · Views: 659
  • 1431767530097.jpg
    1431767530097.jpg
    14.2 KB · Views: 630
LG G2 yangu nikitaka kuiupdate inafail inakuwa kama inaanza then inaniletea ujumbe huu

Err:0x11110004
Tatizo ni nini wakuu
 
Kaka sio simu ambayo imekuwa unlocked

Mkuu unazidi kunipoteza simu yangu unavyosema imekuwa unlocked unamaanisha nini kwa sababu simu yangu sio ya promotion

Samahani mkuu naomba unitoe gizani
 
Kikubwa sana kilichonifurahisha simu iko so speed applications zinafunguka faster sana na pia mwonekano wake ni mzuri!
Nimeipenda kwa kweli hii update!
Ukubwa ni kama MB 1138 hivi approximately 1GB
kwenye custom ROM ndo inakua nzuri sana
 
Custom ROM ndo nini mkuu?
Ebu nitoe ushamba na nitaiwekaje?

ni Rom tu ila sio official .yenyew ina features nyingi zaidi ya stock ROM .yani unaweza flash hyo stock ROM yako na ukaweka custom ROM. ukitaka kuona mambo yalivyo nenda Google then search lolpop custom ROM for galaxy s4 then click image ili uone muonekano wake.Ni vzuri kupata stable version ya ROM inayotaka nafikir cyanogen wtakua wanayo tayari kweny cm 12.kumbuka Ni risk kufanya flashing ya custom ROM since unaweza brick Simu yko .kikubwa usiwe muoga tu.
 
Inaweza kuwa faster na stable ila usijidanganye kwamba utapata rom yenye feature nyingi kama za touchwiz labda iwe nayo ni touchwiz
 
Mkuu unazidi kunipoteza simu yangu unavyosema imekuwa unlocked unamaanisha nini kwa sababu simu yangu sio ya promotion

Samahani mkuu naomba unitoe gizani

Simu ikiwa imetoka marekani au nchi ambazo simu zao zinauzwa na mitandao ya simu kama t-mobile, verizon, vodafone, at&t nk huwa ni ngumu kupata ota (updates za simu kwa kupitia simu yenyewe).

Ni lg g2 model gani?
 
LG-F320L

Msaada wako Tafadhali Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
LG-F320L

Msaada wako Tafadhali Chief-Mkwawa

Ni ya korea kaka 802 ndio international, huwezi pata updates za ota. Hapo inamaana watu wameinunua kwa bei rahisi korea halafu wakaziuza tanzania kwa faida kubwa.

Ili ku update inabidi udownload rom ya lg g2 korea manual then uflash simu
 
Last edited by a moderator:
LG G2 yangu nikitaka kuiupdate inafail inakuwa kama inaanza then inaniletea ujumbe huu

Err:0x11110004
Tatizo ni nini wakuu

Nimeupdate LG G2 ambayo ni T Mobile na inatumia Lollipop. So kaka Chief-Mkwawa vp hapo
 
Last edited by a moderator:
Nimevutiwa na LG G2, nataka niweke pembeni Xperia. Nipe overview khs performance yake.

Aisee ingawa ni cores-4 ila balaa lake ni noma. Hafu iko Faster sana especially ukiupdate to Lollipop. Battery Life is good. Na camera iko fine 13mp. Selfie iko poa too.

Haina memory card slot na battery non removable.

Try it uinjoy powee na vol buttons za nyuma
 
Wadau nina Samsung galaxy note 4 ila bado sijapata hii updates hii imekaa vp nifumbueni macho hapo.
 
Aisee ingawa ni cores-4 ila balaa lake ni noma. Hafu iko Faster sana especially ukiupdate to Lollipop. Battery Life is good. Na camera iko fine 13mp. Selfie iko poa too.

Haina memory card slot na battery non removable.

Try it uinjoy powee na vol buttons za nyuma

Thanks a lot. Nimetumia Xperia T (LTE) mwaka na nusu, napata hamu ya kuhama, nikawa natafuta options tofauti, nikavutiwa la G2.
 
Back
Top Bottom