ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
jina la criss mbajo limepitishwa kama mgombea wa ukawa jimbo la same magharibi na kuenguliwa kwa jonas kadeghe aliyetumia rushwa kwenye chaguzi za ndani na baadae wajumbe kupeleka ushahidi kamati kuu.
Watu wote wanaoipenda chadema hivi ni vitu vya kuwapongeza viongozi wetu kwa kufanya maamzi haya mazuri, binafsi nikipongeze chama changu cha chadema hakika kinajitofautisha na ccm kuwa ukibainika umetumia rushwa hawatasita kukung'oa, nikiombe tu kiendelee kumlika kote nchini na ngazi zote tusije kuwa na wagombea kama akina nape ambao jumla ya wapiga kura ni pungufu ukilinganisha na waliompigia kura ukimuuliza yeye atakwambia ni goli la mkono chadema hatutaki magoli ya mkono tunaikata hiyo mikono.
Jonas kadeghe aliwasafirisha, akawalisha, akawanywesha, akawapa mlungula na kuwalaza katika guest house za kindoroko, kamwala na herena na asubuhi supu na chapati katika mgahawa wa casablanca hapohapo same mjini pia aliwafunga kwa kiapo cha kipare maarufu kama "mma" ili wasijemgeuka mapatano yao.
Alishirikiana na katibu wa zamani wa jimbo mudy mnandi maarufu kama mudy alone na mwenyekiti wa bawacha jimbo phillipina msoffe na katibu wake, pia katibu mwenezi wa jimbo tunzo samuel na wajumbe wa kamati tendaji mbazi mitango ambaye pia ni mwenyekiti wa kata ya suji na lukio ambaye pia ni katibu wa kata ya chome..
Pia kamanda japhet noah kaimu mwenyekiti wa kata ya hedaru ambaye alishiriki kiasi kikubwa kuwarubuni wajumbe kutoka kata yake, kata ya mabilioni na kata mpya ya saweni ambayo hata hivyo wajumbe wake walikataliwa kwa sababu walisimikwa uongozi bila taratibu ili kulinda maslahi ya bwana kadeghe..
Ninavyoandika muda huu huyo kadeghe, mudy alone na filipina msoffe wanamobilize wapambe wao eti waandamane kupinga maamuzi ya kamati kuu na wapo mbioni kutimkia act, swala hili luna tanana kabisa na swala la itilima simiyu baadaya jina la magile kupitishwa na jina la makonda kuondolewa kwa kununua wajumbe...
Hongera cc ya chadema lazima tujitofautishe na magama kwamba ukibainika ndani ya chadema kuwa ulitumia rushwa utakatwa tu...

Kumbe Chadeama napo kuna rushwa kwenye chaguzi zao.Tunaposema Chadema ni mpango wa Mungu tunaimanisha Hatulei yale mambo ya ccm hapa

na yule wa bunda mjini aliyetolewa na kuwekwa mwngne vp alitoa rushwa au mbeleko kwa yule msagajwi???Jina la Criss Mbajo limepitishwa kama Mgombea wa ukawa jimbo la Same Magharibi na kuenguliwa kwa Jonas Kadeghe aliyetumia rushwa kwenye chaguzi za ndani na baadae wajumbe kupeleka ushahidi kamati kuu.
Watu wote wanaoipenda Chadema hivi ni vitu vya kuwapongeza viongozi Wetu Kwa kufanya maamzi haya mazuri, Binafsi nikipongeze chama changu cha Chadema hakika kinajitofautisha na CCM kuwa ukibainika umetumia rushwa hawatasita kukung'oa, nikiombe tu kiendelee kumlika kote nchini na Ngazi zote tusije kuwa na wagombea kama akina Nape ambao jumla ya wapiga kura ni pungufu ukilinganisha na waliompigia kura ukimuuliza yeye atakwambia ni goli la mkono Chadema hatutaki magoli ya mkono tunaikata hiyo mikono.
Jonas Kadeghe Aliwasafirisha, akawalisha, akawanywesha, akawapa mlungula na kuwalaza katika guest house za Kindoroko, Kamwala na Herena na asubuhi supu na chapati katika mgahawa wa Casablanca hapohapo Same mjini pia aliwafunga kwa kiapo cha kipare maarufu kama "Mma" ili wasijemgeuka mapatano yao.
Alishirikiana na Katibu wa zamani wa Jimbo Mudy Mnandi maarufu kama Mudy Alone na Mwenyekiti wa Bawacha Jimbo Phillipina Msoffe na Katibu wake, Pia katibu mwenezi wa Jimbo Tunzo Samuel na Wajumbe wa Kamati Tendaji Mbazi Mitango ambaye pia ni Mwenyekiti wa kata ya Suji na Lukio ambaye pia ni Katibu wa Kata ya Chome..
Pia Kamanda Japhet Noah Kaimu Mwenyekiti wa Kata ya Hedaru ambaye alishiriki kiasi kikubwa kuwarubuni wajumbe kutoka kata yake, Kata ya Mabilioni na kata mpya ya Saweni ambayo hata hivyo wajumbe wake walikataliwa kwa sababu walisimikwa uongozi bila taratibu ili kulinda maslahi ya Bwana Kadeghe..
Ninavyoandika muda huu huyo Kadeghe, Mudy Alone na Filipina Msoffe wanamobilize wapambe wao eti waandamane kupinga maamuzi ya kamati kuu na wapo Mbioni kutimkia ACT, swala hili Luna Tanana kabisa na swala la Itilima Simiyu baadaya jina la Magile kupitishwa na jina la Makonda kuondolewa Kwa kununua wajumbe...
Hongera CC ya Chadema lazima tujitofautishe na magama kwamba ukibainika ndani ya Chadema kuwa ulitumia rushwa utakatwa tu...
Mkuu ni ushahidi gani huo waliopeleka kuwa katoa rushwa?Jina la Criss Mbajo limepitishwa kama Mgombea wa ukawa jimbo la Same Magharibi na kuenguliwa kwa Jonas Kadeghe aliyetumia rushwa kwenye chaguzi za ndani na baadae wajumbe kupeleka ushahidi kamati kuu.
Watu wote wanaoipenda Chadema hivi ni vitu vya kuwapongeza viongozi Wetu Kwa kufanya maamzi haya mazuri, Binafsi nikipongeze chama changu cha Chadema hakika kinajitofautisha na CCM kuwa ukibainika umetumia rushwa hawatasita kukung'oa, nikiombe tu kiendelee kumlika kote nchini na Ngazi zote tusije kuwa na wagombea kama akina Nape ambao jumla ya wapiga kura ni pungufu ukilinganisha na waliompigia kura ukimuuliza yeye atakwambia ni goli la mkono Chadema hatutaki magoli ya mkono tunaikata hiyo mikono.
Jonas Kadeghe Aliwasafirisha, akawalisha, akawanywesha, akawapa mlungula na kuwalaza katika guest house za Kindoroko, Kamwala na Herena na asubuhi supu na chapati katika mgahawa wa Casablanca hapohapo Same mjini pia aliwafunga kwa kiapo cha kipare maarufu kama "Mma" ili wasijemgeuka mapatano yao.
Alishirikiana na Katibu wa zamani wa Jimbo Mudy Mnandi maarufu kama Mudy Alone na Mwenyekiti wa Bawacha Jimbo Phillipina Msoffe na Katibu wake, Pia katibu mwenezi wa Jimbo Tunzo Samuel na Wajumbe wa Kamati Tendaji Mbazi Mitango ambaye pia ni Mwenyekiti wa kata ya Suji na Lukio ambaye pia ni Katibu wa Kata ya Chome..
Pia Kamanda Japhet Noah Kaimu Mwenyekiti wa Kata ya Hedaru ambaye alishiriki kiasi kikubwa kuwarubuni wajumbe kutoka kata yake, Kata ya Mabilioni na kata mpya ya Saweni ambayo hata hivyo wajumbe wake walikataliwa kwa sababu walisimikwa uongozi bila taratibu ili kulinda maslahi ya Bwana Kadeghe..
Ninavyoandika muda huu huyo Kadeghe, Mudy Alone na Filipina Msoffe wanamobilize wapambe wao eti waandamane kupinga maamuzi ya kamati kuu na wapo Mbioni kutimkia ACT, swala hili Luna Tanana kabisa na swala la Itilima Simiyu baadaya jina la Magile kupitishwa na jina la Makonda kuondolewa Kwa kununua wajumbe...
Hongera CC ya Chadema lazima tujitofautishe na magama kwamba ukibainika ndani ya Chadema kuwa ulitumia rushwa utakatwa tu...
Mkuu ni ushahidi gani huo waliopeleka kuwa katoa rushwa?
usijekuta ni fitna tu mkuu wananchi wa Same wakakosa kiongozi bora!
yaamini haitumiki kwenye supu ya kununua mpaka uwe umechinja na kunuia kwa kile ulichochinja hakuna mma wa hoteliniwa picha, wafanya kazi wa hotel alikolaza wajumbe na wafanya biashara waliokuwa wana muuzia supu kifupi wametoa ushahidi wajumbe wenyewe yaani walihongwa....ila kwa kuwa walilishwa yaamini ambayo wakati wakila hawakulijua hilo hawakuwa na namna zaidi ya kumpigia kura Kadeghe...
Punguzeni kuendekeza njaa Chadema hivi kumnulia mtu supu ya ulimi na chapati mbili ni rushwa?
Mbona Moshi vijijini ni the same case na hawajatoa maamuzi? Mkuu kama chadema na UKAWA wanataka kushinda hili Jimbo, basi wamrudishe Jonas Kadeghe, la sivyo ccm wanachukuwa jimbo.wa picha, wafanya kazi wa hotel alikolaza wajumbe na wafanya biashara waliokuwa wana muuzia supu kifupi wametoa ushahidi wajumbe wenyewe yaani walihongwa....ila kwa kuwa walilishwa yaamini ambayo wakati wakila hawakulijua hilo hawakuwa na namna zaidi ya kumpigia kura Kadeghe...
Ni majungu tu, inawezekana kuna hujuma huko kwenye kamati kuu! Huyo jamaa waliomkata ni mtu decent tu angelisaidia Hilo Jimbo sana tu! Hii wamemuonea kabisa!Punguzeni kuendekeza njaa Chadema hivi kumnulia mtu supu ya ulimi na chapati mbili ni rushwa?
Ndani ya chadema ukigundulika umetumia rushwa utangolewa bila kupepesa macho...
Mnakanyaga demokrasia mukibanwa mnasingizia rushwa, rushwa ni kosa la jinai kwa nini musiihusishe PCCB na kumfungulia mashtaka kama kweli!?
Kujuana, na upendeleo wa wazi ndio utaowangamizeni.
hahahahahaa,ccm (chama cha mafisadi)Ufisadi chadema ndiyo nyumbani kwake honganeni tu.