Hatimaye Prof: Wole Soyinka atimizaahadi yake.

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Mwandishi maarufu duniani mwenye asili ya nchini Nigeria anayeishi Marekani, Wole Soyinka ametiza ahadi yake ya kuiharibu kadi yake inayompa nafasi ya kuishi nchini humo (Green Card) kabla hata Donald Trump hajaapishwa kwa mujibu wa shirika la habari la AFP.
92792353_bd877e2a-18d0-4695-b7cb-73022a55412d.jpg

Mwezi uliopita mshindi huyo wa tuzo la fasihi alisema kuwa angeirarua green card, ambayo humpa mtu kibali cha kuishi nchini Marekanai ikiwa Dionald Trump angechaguliwa kuwa rais wa Marekani.

Aliliambia shirika la AFP mjini Johannesburg kuwa kutokana na vile Trump ameshinda, basi ametekeleza alichokisema

“Tayari nishafanya, nimetoka Marekani , nimefanya kile nilisema ningekifanya, nilitupa green card yangu , nimerudi penye ninastahili kuwa,” alisema Soyinka.
 
Yafaa Profesa lipumba ajifunze Kwa huyu mwenzake,siyo kuwa kigeugeu
 
huyu ni professor wa ukwee.
siyo kama yule mwengine wa Buguruni!
 
kwa hiyo ameamua kwenda kuishi wapi?

kama vipi si aje Tanzania tumpe kazi UDOM?
 
Hata hivyo asingeishi kwa amani kutokana na matamshi yake
 
Anachokifanya siyo kitu cha kusifiwa hata kidogo, maana hayo ni matunda ya kujenga chuki dhidi ya Rais mteule Trump na atasababisha Waafrica wote tuonekane mazuzu, Je amefikisha ujumbe gani wa maana kwa watu? au ndo tunasema msimamo wa prof. wa kiafrika.
 
Back
Top Bottom