Hatimaye Polisi wapokea posho 150000/=

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
187
Kuanzia jana askari polisi(bila shaka na magereza,zimamoto) wameanza kupokea posho ya Ths 150000/= kwa mwezi July. Je ni msukumo wa hotuba ya kambi rasmi ya upinzani Bungeni iliyowasilishwa na Mh Nyerere iliyopelekea haya? Kwenye Bunge la bajeti la 2011/12 Mh Kagasheki wakati huo alitamka kuwa wanalipwa kitu ambacho hakikuwa.My take: Polisi wajitambue,ni dhahiri wapinzani wamekuwa watu wanaowasemea sana tu katika maslahi yao! Wasitumike na CCM kuwaminya kama inavofanyika sana siku hizi
 
Back
Top Bottom