Hatimaye picha ya Soudy Brown yapatikana

Hatimaye picha ya Soudy Brown yapatikana

Kuna watu mnamhusudu Mange kimambi Kama Mungu Mtu wenu..
Hatar kabisa
Mange anautenxea haki umbea na ufukunyuku!hata sisi watu wa na heshima zetu tumejikuta tunapiga kodo huko insta kiaina kwa kujificha wajukuu zetu wasituone
 
7129d3086a77cf23a9877af61942933a.jpg

c1a6a8e270c2dff445c501f31f6bac07.jpg

Asante bibie mange kwa kutatua fumbo hili ni ukweli uliodhahiri kabisa kwamba asilimia 80 ya watanzania walikuwa hawamjui huyu jamaa wakiongozwa na mm ila kwa utashi wako mangekimambi hii issue umeimaliza tunasubiri maelezo kumuhusu huyu jamaa,
Acheni kudanganywa kama watoto huyu sio sudi braun waongo watupu
 
Huyo mangi kajambe wenu(mrs Trump)hana mpango wa kurudi home?
Huyo kajitoa mhanga kwahiyo tumwombee na yeye maana kazi anayoifanya ni ngumu, kuna watu wamepinda sana nchi hii. Watanyooka tu.
 
Kaka bujibuji huyu malaya anamatusi ya nguoni mno.utadhani hana kaka au dada hata ndugu wa karibu!! Maneno "unat......a,mse........!,k...a,map....u,sio vitu adimu kwake..Jamani hata kama wewe ni whistle blower au snowden wa kike ndio mitusi namna hii!!.sina uhakika kama alizaliwa kwa njia za kawaida huyu mwanamke.angeziheshimu japo kidogo hizo sex organs hasa za jinsia yake..mpumbaf huyu
Mkuu, Mungu anazo zana zote;
Ubaya ni kwa siku ya ubaya,
Mharibifu ni kwa ajili ya uharibifu,
Mwovu ni kwa ajili ya uovu
Bila kusahau mzuri ni kwa ajili ya uzuri.
Ninakiri kuwa Mange amejaa maneno mabaya lakini kwa wabaya.
Hivyo anafanya kazi sahihi
 
Back
Top Bottom