Hatimaye nimetoa talaka na nimerudi kwenye dini yangu

Hatimaye nimetoa talaka na nimerudi kwenye dini yangu

We puma.vu kweli unabadili kwa mwanamke! Umefanya dini kama chupi enhe!!!
 
Mataira yapo mengi kwel kwel kwa style hii tutaweza kutoka kwenye umaskini wa fikra
 
Dah...hili ni bonge la eksipiriensi! baada ya kutoka kazini nikapitilizia kwa shehe kuuliza taratibu za talaka kiislamu...nikaejlekezwa, mtoto wa kiume nikamface mama mkwe (maana baba mkwe, wife sikuwakuta)...nikampa makavu (kauli ya talaka kwa maneno na kwa barua, ingawa aliikataa barua, but amewafikishia ujumbe) then kila ndugu akapewa taarifa kwa simu, na shehe akapewa buku 2 ya soda.

Nimeirudia dini yangu ya ukristo...nilimmiss sana yesu mnazareti! I feel very released and ready to mingle the nightlife again wouuh!!...

Kimbembe sasa; wife kakimbilia kwa bamdogo, na bamdogo ananiita kesho huko...na mm kwa hatua hii sisuruhushiki tena, niende au nisiende?

kama unajua comment yaki ni "kwann uliwahi kioa?" "shule zimefunguliwa?" "hawa watoto wa siku hizi!"...ndugu, usijaze server maana nitakupuuza tu.

karibuni.

Safi sana sasa karibu kanisani ILI UOLEWE
 
Kuna haja ya kuwaleta ng'ombe wangu kuja kula mashudu na pumba hapa...
 
Tafuta bikra mwingine wa kiislamu alafu badili dini tena nadhani soon utam miss muddy pia.
 
nimeamua kujaza server wew ni fom six,inavuta enh au unafungua mwez wa saba puuzia tu
 
Wee hamuu tuu ya ... usiku ndio inakusumbua huna lolotee unaimagne rahaa wanayopata wenye zaga zao pembeni mechi any time..
Kakojoe mwaya dogo ulaleee tuachie wajuzi wa uwanja tuserembuke na twist letuu maana sie hatuendi kwa shehee wala nini ni palepale tulipokutania tunaenda kuagania hapohapoo. Haaahaaa upoo???
 
Nenda ukamsikilze na uo moyo unaokwambia ucende upinge kwani ni hak yako kw ulilo fanya, ila kama umemwacha bila sabab ya msing ambaz znakubalik katk maagano ya ndoa jua mkosi utakuandama mpaka kaburini.
 
Back
Top Bottom