Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
We ni Me au Ke??
asante zen nakutafuta sana ww miss chagga
Eti juzi asubuhi ghafla nilikuta sms ikisema wewe naomba leo tuachane naomba sana usiniulize kwanini nimemchunguza kumbe alipoenda safarini kakutana na mtu mwingine inaniuma sana na sijui la kufanya nimelala mawazo tu naombeni msaada nimtafute au nimpoteze japo naumia sana.