Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 538
Eti juzi asubuhi ghafla nilikuta sms ikisema wewe naomba leo tuachane naomba sana usiniulize kwanini nimemchunguza kumbe alipoenda safarini kakutana na mtu mwingine inaniuma sana na sijui la kufanya nimelala mawazo tu naombeni msaada nimtafute au nimpoteze japo naumia sana.