Hatimaye nimerudi tena... Baba Zion Daughter is back on stage...

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,988
Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo naloli na fuso...

Napenda kutumia fursa hii kuelezea furaha yangu kwamba baada ya kimya cha muda mrefu sasa nimerudi tena Jukwaani katika mtaa huu maarufu sana hapa bongo.. wa JF.

Nimewakumbuka sana wadau wote tuliokuwa tukishirikiana hapa jukwaani katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo yetu binafsi.

Nimetumwa salamu kwa wote lakini naomba hawa wachache wawakilishe wengi;

Filipo Asprin (michepuko sio dili mzee mwenzangu) charminglady Mtambuzi(baba ngina dawa ya deni ni kulipa) WiseLady miss strong (nakuwowa mke wa pili hivi karibuni) Excel (tata mbuyaole) Baba V (heshima yako mwenye kigoda au mapinduziiii yamekupitia?) Arushaone (shee..mswati upo?) KOKUTONA (ije nkubwile) Dark City (heshima yako babu yao) Madame B (miss you mbaya binamu)@mamndenyi (nakuweka kiporo) watu8 mwekundu (tatu ndio habari ya mujini) mayenga Ben Mugashe ladyfurahia platozoom gfsonwin cacico Cantalisia Kaizer Bujibuji (...) Elizabeth Dominic Nivea King'asti (mtoto wa mzee mtambuzi nasikia umepata mchumba mkurya) Dena Amsi Sabayi marejesho (shemejiiiiii) PakaJimmy LiverpoolFC Evelyn Salt (...)

Karibuni woooote muonje DAY SPECIAL YA LEO - "KICHURI":grouphug::grouphug::grouphug::welcome::welcome::welcome:
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana familia ya Mwita Maranya.
Naona wewe na mkeo mwaJ na mwanenu Zion Daughter mliyeyuka ghafla na kile kivulana kinacho muharibu mwanao huku kikijidai ni kivulana cha kazi nacho sikioni siku hizi.
Bujibuji hebu ninong'oneze aiseee hicho kivulana cha kazi kinachomkodolea mimacho "mai switi dauta" kinaitwa nani?
 
Last edited by a moderator:
kweli mkurya umepotea sana walikuweka lupango nini ahaaaaaa nimekumbuka wewe ulipewa kazi nzito ya kupanga mawe kule banini?
Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo naloli na fuso...

Napenda kutumia fursa hii kuelezea furaha yangu kwamba baada ya kimya cha muda mrefu sasa nimerudi tena Jukwaani katika mtaa huu maarufu sana hapa bongo.. wa JF.

Nimewakumbuka sana wadau wote tuliokuwa tukishirikiana hapa jukwaani katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo yetu binafsi.

Nimetumwa salamu kwa wote lakini naomba hawa wachache wawakilishe wengi;

Filipo Asprin (michepuko sio dili mzee mwenzangu) charminglady Mtambuzi(baba ngina dawa ya deni ni kulipa) WiseLady miss strong (nakuwowa mke wa pili hivi karibuni) Excel (tata mbuyaole) Baba V (heshima yako mwenye kigoda au mapinduziiii yamekupitia?) Arushaone (shee..mswati upo?) KOKUTONA (ije nkubwile) Dark City (heshima yako babu yao) Madame B (miss you mbaya binamu)@mamndenyi (nakuweka kiporo) watu8 mwekundu (tatu ndio habari ya mujini) mayenga Ben Mugashe ladyfurahia platozoom gfsonwin cacico Cantalisia Kaizer Bujibuji (...) Elizabeth Dominic Nivea King'asti (mtoto wa mzee mtambuzi nasikia umepata mchumba mkurya) Dena Amsi Sabayi marejesho (shemejiiiiii) PakaJimmy LiverpoolFC Evelyn Salt (...)

Karibuni woooote muonje DAY SPECIAL YA LEO - "KICHURI":grouphug::grouphug::grouphug::welcome::welcome::welcome:
 
Karibu sana Mkuu, Mwita Maranya watu wakazusha hapa kwamba ulikuwa kwenye kundi la 201 na sasa umeamua kuiunga mkono UKAWA na kutoka nje ya bunge!

Ah wapi ndugu yangu 201 lilikuwa ni maalum kwa makada wa intarahamwe. Mimi nilikuwa nimejichimbia kijijini Bwama Kisarawe najaribu kutekeleza KILIMO KWANZA.
 
kweli mkurya umepotea sana walikuweka lupango nini ahaaaaaa nimekumbuka wewe ulipewa kazi nzito ya kupanga mawe kule banini?
ladyfurahia utakuwa umenifananisha mimi sijawahi kufanya kazi ya korokoroni. Hiyo kazi ya kupanga mawe nakumbuka alikabidhiwa Jiwe Linaloishi.
 
Last edited by a moderator:
Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo naloli na fuso...

Napenda kutumia fursa hii kuelezea furaha yangu kwamba baada ya kimya cha muda mrefu sasa nimerudi tena Jukwaani katika mtaa huu maarufu sana hapa bongo.. wa JF.

Nimewakumbuka sana wadau wote tuliokuwa tukishirikiana hapa jukwaani katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo yetu binafsi.

Nimetumwa salamu kwa wote lakini naomba hawa wachache wawakilishe wengi;

Filipo Asprin (michepuko sio dili mzee mwenzangu) charminglady Mtambuzi(baba ngina dawa ya deni ni kulipa) WiseLady miss strong (nakuwowa mke wa pili hivi karibuni) Excel (tata mbuyaole) Baba V (heshima yako mwenye kigoda au mapinduziiii yamekupitia?) Arushaone (shee..mswati upo?) KOKUTONA (ije nkubwile) Dark City (heshima yako babu yao) Madame B (miss you mbaya binamu)@mamndenyi (nakuweka kiporo) watu8 mwekundu (tatu ndio habari ya mujini) mayenga Ben Mugashe ladyfurahia platozoom gfsonwin cacico Cantalisia Kaizer Bujibuji (...) Elizabeth Dominic Nivea King'asti (mtoto wa mzee mtambuzi nasikia umepata mchumba mkurya) Dena Amsi Sabayi marejesho (shemejiiiiii) PakaJimmy LiverpoolFC Evelyn Salt (...)

Karibuni woooote muonje DAY SPECIAL YA LEO - "KICHURI":grouphug::grouphug::grouphug::welcome::welcome::welcome:

looh mi nilikuwa sikujui Mwita, shikamoo
 
Last edited by a moderator:
karibu tena Mwita Maranya.
lakin kabla hujaingia ndani ukapewa kikombe cha kahawa vua kwanza tudokeze kwanza ulikokwenda isije ikawa umevurumishwa na bastola tukajikuta nyumba nzima ni victim wa adui yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom