Hatimaye nimepata ubavu wangu

Hatimaye nimepata ubavu wangu

baada ya kipindi kirefu kuwa na swali ambalo halijibiki kirahisi, kwamba ni nani atakuwa umbavu wangu kwaza yukoje? Je atafanana kweli na mke ambaye yumo kwenye fikra zangu.

ilikuwa tarehe 4 march majibu hayo yakajiba yote.

Namshukuru sana Mungu,

Kwa hyo viluka njia wote wa JF musisumbue kabsa Inbox yangu



Sent Using Kapembe Kambuzi Mobile App


Kwahiyo umefunga ndoa na "mbavu zako"??! 🤣
 
baada ya kipindi kirefu kuwa na swali ambalo halijibiki kirahisi, kwamba ni nani atakuwa umbavu wangu kwaza yukoje? Je atafanana kweli na mke ambaye yumo kwenye fikra zangu.

ilikuwa tarehe 4 march majibu hayo yakajiba yote.

Namshukuru sana Mungu,

Kwa hyo viluka njia wote wa JF musisumbue kabsa Inbox yangu



Sent Using Kapembe Kambuzi Mobile App
Viruka njia tunauliza



Vipi bado upo nae mpaka leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom