Mzigo nakula nikihitaji mkuu wala hana shida. Mpaka leo yuko vile vile bado haombi hela kabisaa. Muda mwingine naona aibu nampa kwa kumlazimisha.Anakutaftia size ya Spana [emoji28][emoji28][emoji28] akilianzisha utaomba poo humu! Vipi mzigo ushakula lakini?
Akiendelea hivyo hivyo mchunguze kama hana danga nje! Akipass hapo unaoa tu mzee mke huyoMzigo nakula nikihitaji mkuu wala hana shida. Mpaka leo yuko vile vile bado haombi hela kabisaa. Muda mwingine naona aibu nampa kwa kumlazimisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana mzee baba yupo tuu anapiga shughuli zake.Akiendelea hivyo hivyo mchunguze kama hana danga nje! Akipass hapo unaoa tu mzee mke huyo
Kumbe ana shughuli zake kabisa mzee ukimchoka nipe mimi huyo
[emoji3][emoji3][emoji3] poa mzee nitakupasia.Kumbe ana shughuli zake kabisa mzee ukimchoka nipe mimi huyo
Ila sio wadada wa kizazi hiki. Hapa nasubiria tuu mpaka nione mwisho wake.Wanaume mmekariri lazima mpigwe mizinga.
Jua tuu kuna wengine hawana mazoea ya kuomba omba pesa zenu.
Ni kwambaa, kama hujiskii kutoa mwenyewe bila kupigwa tukio ndo bas imetoka hivyo..
Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app