Shukrani kaka nimepanga kwenda na Maji ya baraka kutoka Kwa TB Joshua na Nabii Nicolas Suguye wa WRM Church yule wa Kivule Matembele ya Pili.. Maana nikiboko ya wachawi.. Nachukua udongo wapale shmbani kwa kiganja cha mkono na nyunyuzia maji ya upako kisha naenda kurusha ule udongo kona Zote za shamba langu.. Kisha napiga goti kati kati ya shamba langu naombea Aridhi kamwe isiguswe na nguvu za Giza na atakaye jaribu wata nasa hapo.Good job ila .make sure unazindika shamba kwanza vijiji hivyo ni nuksi kwa uchawi LA sivyo hapo utakua huambulii kitu kabisa
Nilisha wahi kufanya hivi kwenye Kiwanja changu Mbezi beach.. Aisee kila baada ya miezi kazAa kulikuwa watu wanafumwa asubuhi hawajiwezi wako na kaniki na vitambaa vykundu kichwani mpka majirani wakawa wana niogopa na hawakujua siri ya nguvu ya maombi.. Mpaka leo sija wambia ila wanga wanajua lile eneo langu halipitiki wala halichezewiShukrani kaka nimepanga kwenda na Maji ya baraka kutoka Kwa TB Joshua na Nabii Nicolas Suguye wa WRM Church yule wa Kivule Matembele ya Pili.. Maana nikiboko ya wachawi.. Nachukua udongo wapale shmbani kwa kiganja cha mkono na nyunyuzia maji ya upako kisha naenda kurusha ule udongo kona Zote za shamba langu.. Kisha napiga goti kati kati ya shamba langu naombea Aridhi kamwe isiguswe na nguvu za Giza na atakaye jaribu wata nasa hapo.
Upande huu ekari moja: kung'oa pekeyake 150,000/=, kukusanya&kuchoma visiki 25,000/=, kufyeka 50,000/= - 60,000/= (kutegemea na miti iliyopo), na wang'oaji wengi wanatoka Dodoma, shida ya wakwere wenzangu wanatakaga hela ndefu lakini kazi inaenda kwa kusuasua.Wanasema wana ng'oa kwa laki mbili.. Ila kufyeka kwa heka ni 45,000/=
Shukrani kaka nimepanga kwenda na Maji ya baraka kutoka Kwa TB Joshua na Nabii Nicolas Suguye wa WRM Church yule wa Kivule Matembele ya Pili.. Maana nikiboko ya wachawi.. Nachukua udongo wapale shmbani kwa kiganja cha mkono na nyunyuzia maji ya upako kisha naenda kurusha ule udongo kona Zote za shamba langu.. Kisha napiga goti kati kati ya shamba langu naombea Aridhi kamwe isiguswe na nguvu za Giza na atakaye jaribu wata nasa hapo.
Nina shamba maeneo hayo sema ni mbele kidogo kunaitwa Bwawani , kwa mahindi unaweza kulima bila kutoa visiki unachofanya wakati wa kukata pori unakusanya majani kwenye visiki vikubw na kuchoma haviwezi kuota sana, vinaota vichache ambavyo havina madhara makubwa.Hapana kiongozi sikushauri, visiki vinachipua kwa speed na kufunika mazao, itakupasa kufyekea maotea mara kwa mara, gharama itarudi palepale, mimi nimekula hasara ya ekari sita, nilizilima zote, mbili nikazipanda na nikazitelekeza, nikaona bora ning'oe tuu, kwani upande huo kung'oa sh ngapi/ekari?
Hii ndio bei we we ni mwenzangu maana na mm nafanya kazi ya kufyeka na kulima kwa sasa kwa bei hiyo.Wanasema wana ng'oa kwa laki mbili.. Ila kufyeka kwa heka ni 45,000/=
mmmh mi kwetu si mbali sana na apo,maeneo hayo ni ya mahindi,au ufutaUngeongea na wenyeji wa hapo ungekua bonge la genius na ingependeza zaidi
Duma unazungumzia bwawani??? Mm nataka kulima hapo Mipapai na mihogo, pia tikitimmmh mi kwetu si mbali sana na apo,maeneo hayo ni ya mahindi,au ufuta
Si ndo kilimo kilicho zoeleka! Mkuu anataka new taste!mmmh mi kwetu si mbali sana na apo,maeneo hayo ni ya mahindi,au ufuta