24th DECEMBER
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 401
- 167
Mavuno yanatokana na 1) Aina ya mbegu, 2)Matumizi ya mbolea kwa usahihi, 3)usafi wa shamba 4)Hali ya hewa/Upatikanaji wa maji bila ya kusahau 5) Nafasi kati ya mche ne mche pamoja na mstariHivi kitaalamu ukilima heka moja mahindi kwa kufuata kanuni zote mbegu nzuri. Heka itatoa gunia ngap??
Sorry nilikuwa nje ya mtandao kwa muda, nilimaanisha ekari yaani ile ya 70*70 yenye mita za mraba 4900Mnavyoongea mi huwa siwaelewi. Unamaanisha acre ambayo kiswahili ni ekari ama hectare (kiswahili ni hekari)?
Btw hekari 1 = ekari 2.47 za ardhi.
Ukilima ardhi nzuri, taratibu zote ukazifuata na mbegu bora unavuna hata gunia 70 za mahindi kwa ekari.
Lakini wengi wanaishia gunia kati ya 20-30 sababu ardhi imechoka na acidic content ni kubwa.
Na wengine anapata 5 tu. Ni uwekezaji
Wenyenyi wananishauri eti nilime misimu miwili ili visiki vioze ndio moving'oe kwa bei rahsi na kwa uraisi zaidiHongera sana kiongozi, mimi ninakijishamba maeneo ya mboga (Msoga kwa mbele)
nakushauri kwa nature ya uoto wa pwani, ukifyeka tu hakikisha unang'oa visiki, kwasababu ukifyeka pekee vichaka havikawii kuchipua hivyo pori litajirudia upya
Upo sawa kaka naambiwa na wenyeji kuwa mvua ni nyingi na wao wanalima twice a yearMkuu udongo wa ukanda huo tikiti pia linakubali..!kipindi cha mvua lakini..!ushauri tengeneza miundombinu ya kuvuna maji ya mvua kwa ajili ya umwagiliaji coz ukanda huko mvua ni nyingi..!watu wanalima vuli na masika wanapata..
poa, afu cheki inbox kuna ujumbe nmekutumia uko.Aksante bro ntamtafuta
Hapana kiongozi sikushauri, visiki vinachipua kwa speed na kufunika mazao, itakupasa kufyekea maotea mara kwa mara, gharama itarudi palepale, mimi nimekula hasara ya ekari sita, nilizilima zote, mbili nikazipanda na nikazitelekeza, nikaona bora ning'oe tuu, kwani upande huo kung'oa sh ngapi/ekari?Wenyenyi wananishauri eti nilime misimu miwili ili visiki vioze ndio moving'oe kwa bei rahsi na kwa uraisi zaidi
not more than 30 bags and not less than 20 bagsHivi kitaalamu ukilima heka moja mahindi kwa kufuata kanuni zote mbegu nzuri. Heka itatoa gunia ngap??
10.. Zinaweza kuzidi mkuu... Nikiwa mdogo tiuliwahi vuna gunia 100 /10 ekaHivi kitaalamu ukilima heka moja mahindi kwa kufuata kanuni zote mbegu nzuri. Heka itatoa gunia ngap??
Wanasema wana ng'oa kwa laki mbili.. Ila kufyeka kwa heka ni 45,000/=Hapana kiongozi sikushauri, visiki vinachipua kwa speed na kufunika mazao, itakupasa kufyekea maotea mara kwa mara, gharama itarudi palepale, mimi nimekula hasara ya ekari sita, nilizilima zote, mbili nikazipanda na nikazitelekeza, nikaona bora ning'oe tuu, kwani upande huo kung'oa sh ngapi/ekari?
Brother kwa hapa Tanzania inalimwa wapi zaidi!! Natamani niwatembelee wakulima husika wa Almond nikajifunze nianze nayo kwenye mashamba yangu yenye rutuba.. Maana ile ni non-parishable so nahitaji kujua tu ABC Zake na masoko..Hiyo almond ni bidhaa moja expensive sana