Safi sana ila ukipata muda waweza kuwaona SUA utapata ufafanuzi kwa kina zaidi aise.Mungu Anasaidia bro.. Ingawa maisha yangu yote sijawahi Lima na nimekulia mjini ila ndoto yangu ni kuwa na Mashamba yangu binafsi.. Nakipenda kilimo ila ujuzi sina.. Naamini niya yangu na dhamira ni ngao yangu..
Nakushauli fanya yafuatayo baada ya kupima udongo.Hallo,
Guys kama mmnakumbuka nilikuwa nikitafuta mashamba tangu mwaka jana November hatimaye Week iliyopita nimepata viji heka vitano maeneo ya msolwa ukitoka chalinze kama unaelekea morogoro..
Sasa naombeni wazo kuna hivi vitu natamani kulima pale ila sijajua wataalamu wa hali ya hewa,udongo na Ukanda husika mnishauri kama yana wezekana..
View attachment 679619View attachment 679620View attachment 679621View attachment 679622
Pia wataalumu naombeni mnishauri kati ya mazao haya ni lipi linafiti maeneo hayo au kama katika haya hakuna zao gani mnalo jua lina uhakika maeneo yale ya Bwawani, Msolwa mpaka Ufipa??
Wenyeji wamejizoesha mahindi tu nawana ubunifu yaan vijiji si unajua tena wao vichwan mwao wanawaza alzeti, mahindi na maharage
Thanks broNakushauli fanya yafuatayo baada ya kupima udongo.
Kama ardhi haijawahi kulimwa basi jua ilikuwa jiji la wadudu.
Kwanza piga dawa kali ya wadudu baada ya kupitisha trekta hasa dawa ya kuua cutworm,
Subili majani yaote kidogo piga dawa ya kuua nyasi.
Kwa nini nimekuambia usubili ni kwa sababu baada ya kupitisha trekta na kupiga insecticide, mbegu za majani ambazo zilianguka ulizipanda kwa kupitisha trekta.
Baada ya kuweka dawa ya kuua nyasi, zikifa, pitisha tena trekta na mara hii piga dawa ya fungicides.
Baada ya hapo utapanda chochote ukiwa na usalama 70% ya mazao yako.
Sio tatizo kwa hao wanakijiji, Ila ww lima hayo mazao kisasa zaidi ili wapate maarifa toka kwakoWenyeji wamejizoesha mahindi tu nawana ubunifu yaan vijiji si unajua tena wao vichwan mwao wanawaza alzeti, mahindi na maharage
Mnavyoongea mi huwa siwaelewi. Unamaanisha acre ambayo kiswahili ni ekari ama hectare (kiswahili ni hekari)?Hivi kitaalamu ukilima heka moja mahindi kwa kufuata kanuni zote mbegu nzuri. Heka itatoa gunia ngap??
Hongera sana kwa kuwa na mawazo ya kilimo, ukilima vizuri na ukatunza vizuri ekari moja si pungufu ya gunia 30 za mahindiHivi kitaalamu ukilima heka moja mahindi kwa kufuata kanuni zote mbegu nzuri. Heka itatoa gunia ngap??
Hongera sana kiongozi, mimi ninakijishamba maeneo ya mboga (Msoga kwa mbele)http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/976e36540640700efc73024fe37c20bf.jpg[/IMG
Hii ndio hali halisi ya mashamba yalivyo ingawa tayari kuna vibarua wana ya fyeka sasa, kutakuwa tambarare soon